Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Hivi kuna basi lifanyalo route ya Mtwara <> Kagera (Bukoba)?
Hii Sijaona Lakini Michango Kama Hii Wenye Bus Wataweka
Bus Ikitoka Mtwara ~Kagera (Bukoba)
Bila Shaka Yoyote Ndiyo Itakuwa Ndefu Kuliko
Dar Es Salaam ~Kigoma
Dar Es Salaam ~Kagera
Dar Es Salaam ~ Mara (Musoma)

Bus Itoke Mtwara ~Kyerwa Ndiyo Itakuwa Safi
 
Majinja kashindwa nani ataweza??
Namuamini sana, route za kiumeni,

Siyo kina Ally Star, wamepaka mabasi rangi za kuvutia nyuki, ukipanda huduma mbovu, daladala si daladala, siti mpaka mawaya yametokeza nje, jua likiwaka tu, linachemka gari kila kilometa100, mnatafuta visima vya maji! Mnalipooza...shubamitiii

Everyday is Saturday................................😎
Majinja ni mzoefu wa route ndefu sasa hivi anayo ya katavi-dar na ameimudu
 
Hiyo ya Mbeya -Mtwara mabasi huwa yanazinguaga sijajua hiyo itakuwaje. Anyway, kila heri
 
Alibadilisha route na katavi-Dar sasa hivi
Yeah nimeona ana Dar-Katavi, Dar-Bukoba, Dar-Kigoma, Dar-Sumbawanga na sijjui route gani ile ya mbali. Halafu basi body imeandikwa Scania huku ni Leyland yaani huwa nacheka.

Ila wanakimbia sana sana, wana speed mno
 
Hizi za songi to zoo zinapita Dodoma mtera na ya Mbeya Zoo zinapita itigi Chunya?
 
Hii Sijaona Lakini Michango Kama Hii Wenye Bus Wataweka
Bus Ikitoka Mtwara ~Kagera (Bukoba)
Bila Shaka Yoyote Ndiyo Itakuwa Ndefu Kuliko
Dar Es Salaam ~Kigoma
Dar Es Salaam ~Kagera
Dar Es Salaam ~ Mara (Musoma)

Bus Itoke Mtwara ~Kyerwa Ndiyo Itakuwa Safi

Hiyo mikoa nimetaja mkuu ndio mikoa iliyo umbali mrefu baina yao kuliko mikoa yoyote...

Sasa nimekuwa nikitamani kuona chuma inafanya safari hiyo...

Maana kama kuna basi inatoka Dar kwenda Lusaka au Harare, kwa nini tusiwe na basi zinacross country na ukichukulia kwa sasa sehemu kubwa ya nchi ina lami...
 
Mwanza watafika kesho asubuhi kama singida wamepita 2200Hrs Shinyanga lazma wapigwe pin watalala hapo
Mbeya - Mwanza na Songea - Mwanza hazipishani ndugu, mara nyingi nikitoka Mbeya - Mwanza kuingia Singida saa 4usiku ni kawaida, hivyo kuingia Mwanza Saa10 usiku au 11 alfajiri ni kawaida.
 
Hiyo mikoa nimetaja mkuu ndio mikoa iliyo umbali mrefu baina yao kuliko mikoa yoyote...

Sasa nimekuwa nikitamani kuona chuma inafanya safari hiyo...

Maana kama kuna basi inatoka Dar kwenda Lusaka au Harare, kwa nini tusiwe na basi zinacross country na ukichukulia kwa sasa sehemu kubwa ya nchi ina lami...
Mkuu Nakubaliana Nawe
Kuna Bus Inatoka Zambia ~Dar Es Salaam
Congo (Lubumbashi)~Dar Es Salaam
Rwanda ~Dar Es Salaam
Uganda ~Dar Es Salaam

Sasa Muda Umefika Tuone
Mtwara ~Kagera
Mtwara ~Kigoma **
Mtwara ~Mara
Mtwara ~Arusha

Japo Hapo Nilipoweka ** Kuna Siku Nilipanda Bus Kwenda Singida Dereva Akawa Analalama Ukupeleka Kampuni Mpya Kuna Mauzauza Yaani Unajikuta Week Gari Inapata Changamoto
 
Nia,malengo na uthubutu, vimemfikisha hapo, embu fikiria unapata scania za bei mbaya halafu unapiga route ndefu kama mwanza songea au Arusha songea
Kitaalamu Scania ndio inafaa kwa hiyo ruti ndefu,kwa alicho kianzisha ni sawa kabisa kwakweli tunapashwa kujitosheleza kwa ruti za ndani ya Nchi kwamaana sehemu kubwa ya Nchi kwa sasa zinafikika kwa urahisi hatuna haja tena yakujiwekea mipaka ni swala la hawa wahusika wa usafirishaji kuboresha huduma tu mambo ya songe vyema.
Serekali sasa ni swala la kuboresha ulinzi hasa zile sehemu korofi maana kuna ruti nyingine ni ndefu sana.
 
Huyu mwamba wa kusini kaingiza G7 10.
Angalau G7 zina finish kuliko Gemilang sijui wamezipendea nn Gemilang naona zimekaa kisufuria zaidi.Hata master fabrication singa wa Nairobi anatoa chuma kali check vyuma vya Tamheed Dar Mombasa.

View attachment 2001799

View attachment 2001800
Umeweka picha ya vyuma vya Super Feo. Ziko wapi picha za Taheemed-Dar?

K-Vant zimeanza kufanya kazi?
 
Mkuu Nakubaliana Nawe
Kuna Bus Inatoka Zambia ~Dar Es Salaam
Congo (Lubumbashi)~Dar Es Salaam
Rwanda ~Dar Es Salaam
Uganda ~Dar Es Salaam

Sasa Muda Umefika Tuone
Mtwara ~Kagera
Mtwara ~Kigoma **
Mtwara ~Mara
Mtwara ~Arusha

Japo Hapo Nilipoweka ** Kuna Siku Nilipanda Bus Kwenda Singida Dereva Akawa Analalama Ukupeleka Kampuni Mpya Kuna Mauzauza Yaani Unajikuta Week Gari Inapata Changamoto
Kigoma kuna wenyewe wewe mgeni usije jidanganye kupeleka gari bila kujipanga.

Hapo ongezea na route ya kampala- mbeya-tunduma hii nayo sizan kama ipo
 
Back
Top Bottom