Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana.
Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza.
Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..?
Songea- mwanzaNauli sh ngapi? Nimeona pia ruti ya Songea - Moshi
Mkuu nikipata taarifa nitakujuza.
Kampuni moja ndio
Kumbe asee wapo vizuri sana,,,hii rout ya mbamba bay to dar nimeielewa kwa selousKampuni moja ndio
Hakuna ila kuna mtwara - morogoro nadhan ni Maning NiceHivi kuna basi inayofanya route ya Mtwara <> Kagera (Bukoba)?
Nia,malengo na uthubutu, vimemfikisha hapo, embu fikiria unapata scania za bei mbaya halafu unapiga route ndefu kama mwanza songea au Arusha songeaKumbe asee wapo vizuri sana,,,hii rout ya mbamba bay to dar nimeielewa kwa selous