Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Sio kikwete
Kikwete alikua Rais
John Pombe Joseph Magufuli alikua waziri wa mabarabara kwa miaka20 na baadae kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mwenye maono makubwa kwenye miundombinu ya usafiri

Bado huelewi????
 
Kigoma mbona imefunguka, Adventure, Saratoga, satco, Majinja, An Ramms, Takbir, NBS ni baadhi ya kampuni zinapiga kazi
Nimeuliza arusha to songea
Superfeo/selous kaanzisha hiyo route via Kondoa, Arusha to Moshi. Nafikiri itaanza karibuni ila matangazo tayari yapo. Kuna mmemba kasema wameanza leo. Desemba hii wachanga watakamua sai

Superfeo/selous kaanzisha hiyo route via Kondoa, Arusha to Moshi. Nafikiri itaanza karibuni ila matangazo tayari yapo. Kuna mmemba kasema wameanza leo. Desemba hii wachanga watakamua sana
Imekaa vizuri sana hiyo route maana kulikua na changamoto sana mpaka uunge
 
Mchina anafnya custumization vile unatka mteja ndo mana BM na Kidia zina maliwato japo ni haja ndogo tu sio mbaya
Anaweka choo cha haja ndogo na leg room inapungua
Marcopolo 2010 , south african world cup version, zilikuwa na choo cha haja zote ,maliwato yenye maji moto na baridi , pamoja na legroom ya kutosha , with seating capacity ya abiria 56 .
 
Zikibadirishwa wenda tukaanza kuziona na double decker zikiingia nchini
Yap double decker ndo njia sahihi ya kusafiri kwa route zilizo tight , Dar moro , au mwanza sirari , mwanza musoma zilitakiwa ziwe na bus za duoble deck, katika configuration ya kawaida kabisa double deck zinabeba hadi abiria 70.
 
zimetungwa na waduanzi pro max 😀😀
Sheria nyingi za Tanroad zilitungwa wakati "the late" akiwa waziri wa ujenzi, either alikuwa miss informed au aliamua tu kukomoa watu, na bahati mbaya Bunge halikuweza kujadili miswada ya wizara ya ujenzi kabla haijawa sheria .
Semi trailers za south africa zinaishia Tunduma kwa ajili ya sheria zetu.
 
Kuna kampuni flani inaitwa Arusha Express ina bus la Scania Marcopollo (Paradiso) linatoka Arusha to Dodoma litafute uingie ndani 'NA UKAE KWA MUDA' alafu shuka panda mchina iliyotoka mwaka jana (hiyo Marcopollo imepiga kazi almost 20yrs) then njoo hapa u_reply.

Samahani mkuu!
Inawezekana sikukuelewa ulichokusudia!
Unaweza kunielewesha pia kama hautajali..
 
Kuna ya mtwara masasi songea iringa mpaka mwanza. Kituo cha kwanza kushusha abiria ni igunga. Hii inapita songea saa 10 jioni , iringa saa 3 mpaka 4 usiku, dodoma saa 8mpaka 9 usiku singida ni 11 au 12 alfajiri. Hivyo 24hrs zinakamilikia singida alafu tunaanza siku nyingine kuitafuta mwanza mapemaa kwenye saa 6 au 7 mchama ni safari ya masaa zaidi ya 30.
 
Anaweka choo cha haja ndogo na leg room inapungua
Marcopolo 2010 , south african world cup version, zilikuwa na choo cha haja zote ,maliwato yenye maji moto na baridi , pamoja na legroom ya kutosha , with seating capacity ya abiria 56 .
Nimemalizia na sio mbaya hata hizi haja ndogo kuliko kukosa kbs ndo nilichomaanisha
 
Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana.

Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza.

Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..?
Kama ni Scania atafanya vema lakini kama ni Yotong atapotea mapema, Nasubiria wababe waanzishe Route ya Arusha-Mtwara, Arusha- Songea, Mtwara-Mwanza
 
Mdau nina wasiwasi jamaa alifanya madudu huko sasa ili kuepuka kubanwa ngoja atunge sheria za ovyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…