Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Mwanza - Songea kupitia Dar? Hii route itakuwa balaa, hebu kaangalie atlas yako kwanza uone kutoka huku kwenda kule unapita wapi na wapi
[emoji3][emoji3][emoji3] Anafikiri mchezo!
 
Mwanza - Songea kupitia Dar? Hii route itakuwa balaa, hebu kaangalie atlas yako kwanza uone kutoka huku kwenda kule unapita wapi na wapi
Binafsi wa kupitia Dar ni usumbufu, wakati kuna short cut way ile ya njombe via iringa, also ni kero na uchovu usiyo na umuhimu kwa abilia.
 
Kwako wewe Ushabiki ni upi na uhalisia ni upi?
Kumpa mtu chapuo kwa mazuri pekee japo sio yake na ukayaficha madudu yake huo ndo ushabiki kwa sababu tuu una mahaba nae uhalisia ni kumpa chapuo mwenye lake bila kujali Kama una mahaba nae au chuki dhidi yake
 
Ni mwendo wa shida tu afrika..unakaa kwenye bodi masaa 20
Kuna nchi nyingi Africa na Asia hakuna barabara za kufanya usafiri hayo masaa kwa distance hiyo, hiyo ni hatua kubwa ya maendeleo, miaka 7 tu nyuma mkazi wa arusha alietaka kwenda mwanza ilibidi abebe passport sababu lazima apite nchi jirani ili afike mwanza
 
Kumpa mtu chapuo kwa mazuri pekee japo sio yake na ukayaficha madudu yake huo ndo ushabiki kwa sababu tuu una mahaba nae uhalisia ni kumpa chapuo mwenye lake bila kujali Kama una mahaba nae au chuki dhidi yake
ukayaficha madudu yake kwani topic hapa ni ipi? Mtu mzima ufikiri kindergarten
 
Hivi hakuna route yoyote ya Mtwara - Arusha
Haipo ila wenye macho ya kuona wanaweza kuanzisha hii.

Mfano Esta Luxury huyu naona anaanza kufunguka kuna yule jamaa wa kusini Mining Nice anaweza ila wanasubiri kitu gani sijui.

Zakaria Express anaweza maana akisikia hii atakuja fasta.
 
Mkuu, mbona kuna kariakoo ya kinyerezi pale, magomeni ya Tanga, posta ya posta mpya na posta ya majumbasita!? Hii mitaa majina yanajirudia kila sehemu ni sawa na useme gari langu huwa ninalilaza CCM pale, maana hizo CCM zinazolaza magali na pikpik zipo nchi nzima. Kwa hiyo huyo jamaa yupo sawa tu.
 
Wewe ndiyo unatooa nje ya mada kabisa aseee...!, Hebu fuatilia kwa umakini uelewe alichoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…