Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

BIla shaka ni zile scania mpya ndo zinampa jeuri, .... Sasa mtu anasema zongtong gari Kali achen mzaa , scania ineshindkana, ... Route zote nzito inapewa scania... Dar Lubumbashi, dar Nairobi, hata mahari ya bushi huko makete na lupembe ni scania tupu
Ni hesabu tu
Scania wanatoa warranty nzuri sana wanapokuuzia kifaa kipya , kama sikosei km 300,000 au miaka mitatu, whichever comes first
Feo hajawahi miliki basi ya scania nafikiri idea ya kununua hizi basi ni ili aweze ku zi push to the limit ilhali akiwa ana enjoy security ya warrant,
Ukicheza kamali kama hii na basi ya kichina lazima upotee kwenye game
 
Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana.

Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza.

Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..?
Unamsimfia Mwanaume mwenzio, huoni aibu. Tafuta pesa
 
Although mimi siishi huko nimepita tu, wewe unayeifahamu umeweka sawa ni vyema, mbona hayo mengine hujasema kama nadanganya?.

Siko hapa kudanganya, naandika kulingana na ninavyofaham mdogo wangu.

Na sidhani kama mwenge kuna mtaa wa namna hiyo, maana kuanzia pale kituo cha itv kuzunguka kanisa la wasabato unakuja mpaka magorofa ya jeshi kule jirani na mamaland zamani au afrika sana and come close to bodi ya mikopo, yote hiyo ni mwenge
Ni Mwenge kweli ila ipo kata ya Kijitonyama na ofisi za kata zipo karibu na kituo cha polisi Mabatini au uwanja wa bora.
 
A
Ni hesabu tu
Scania wanatoa warranty nzuri sana wanapokuuzia kifaa kipya , kama sikosei km 300,000 au miaka mitatu, whichever comes first
Feo hajawahi miliki basi ya scania nafikiri idea ya kununua hizi basi ni ili aweze ku zi push to the limit ilhali akiwa ana enjoy security ya warrant,
Ukicheza kamali kama hii na basi ya kichina lazima upotee kwenye game
Aàah sana...
 
WHY?, Kwanza sehemu yoyote yenye matuta barabara inaharibika sana sababu ya nguvu kubwa inayotumika kwa magari makubwa kupunguza mwendo, fuatilia sehemu zote zenye matuta utaona lami ina mimba au crakes.
Hasara za matuta
  1. Yanaharibu sana barabara
  2. Yanaongeza sana fuel consumption
  3. Yanaharibu sana tyres
  4. Yanadhoofisha bolts na nuts
  5. Yanachelewesha safari
  6. Yanasababisha ajali nyingi njiani
  7. Yanategua viuno vya abiria na hasa wa siti za nyuma
 
Ni hesabu tu
Scania wanatoa warranty nzuri sana wanapokuuzia kifaa kipya , kama sikosei km 300,000 au miaka mitatu, whichever comes first
Feo hajawahi miliki basi ya scania nafikiri idea ya kununua hizi basi ni ili aweze ku zi push to the limit ilhali akiwa ana enjoy security ya warrant,
Ukicheza kamali kama hii na basi ya kichina lazima upotee kwenye game
Kumbafu Sana nyie wadwanzi mnajua mambo mengi hivi mnalala kweli dah
 
Hasara za matuta
  1. Yanaharibu sana barabara
  2. Yanaongeza sana fuel consumption
  3. Yanaharibu sana tyres
  4. Yanadhoofisha bolts na nuts
  5. Yanachelewesha safari
  6. Yanasababisha ajali nyingi njiani
Ule mwendo wa SuperFeo kwenye tuta Ni balaa tupu dereva ananyoosha mguu balaa yaan ukiingia ndani ya gari aga kabisa kwenu
 
Hivyo kwa sasa daily Songea - Dodoma kutakuwa na gari 3, songea dom 2 na moja ya mwanza au moshi
 
Tangazo lao hili
IMG-20211029-WA0036.jpg
 
Back
Top Bottom