Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Ni hesabu tu
Scania wanatoa warranty nzuri sana wanapokuuzia kifaa kipya , kama sikosei km 300,000 au miaka mitatu, whichever comes first
Feo hajawahi miliki basi ya scania nafikiri idea ya kununua hizi basi ni ili aweze ku zi push to the limit ilhali akiwa ana enjoy security ya warrant,
Ukicheza kamali kama hii na basi ya kichina lazima upotee kwenye game
 
Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana.

Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza.

Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..?
Unamsimfia Mwanaume mwenzio, huoni aibu. Tafuta pesa
 
Ni Mwenge kweli ila ipo kata ya Kijitonyama na ofisi za kata zipo karibu na kituo cha polisi Mabatini au uwanja wa bora.
 
A
Aàah sana...
 
WHY?, Kwanza sehemu yoyote yenye matuta barabara inaharibika sana sababu ya nguvu kubwa inayotumika kwa magari makubwa kupunguza mwendo, fuatilia sehemu zote zenye matuta utaona lami ina mimba au crakes.
Hasara za matuta
  1. Yanaharibu sana barabara
  2. Yanaongeza sana fuel consumption
  3. Yanaharibu sana tyres
  4. Yanadhoofisha bolts na nuts
  5. Yanachelewesha safari
  6. Yanasababisha ajali nyingi njiani
  7. Yanategua viuno vya abiria na hasa wa siti za nyuma
 
Kumbafu Sana nyie wadwanzi mnajua mambo mengi hivi mnalala kweli dah
 
Hasara za matuta
  1. Yanaharibu sana barabara
  2. Yanaongeza sana fuel consumption
  3. Yanaharibu sana tyres
  4. Yanadhoofisha bolts na nuts
  5. Yanachelewesha safari
  6. Yanasababisha ajali nyingi njiani
Ule mwendo wa SuperFeo kwenye tuta Ni balaa tupu dereva ananyoosha mguu balaa yaan ukiingia ndani ya gari aga kabisa kwenu
 
Hivyo kwa sasa daily Songea - Dodoma kutakuwa na gari 3, songea dom 2 na moja ya mwanza au moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…