Huu ni umbea, upotoshaji na uchochezi.Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
nabii wa uwongo huyo, hapo atavuna pesa mpaka achanganyikiwe na sadaka huwa ni elf10 nakundelea sasa mara idadi ya hao watu
Wewe nabii wa ukweli mbona umejifungia geto...acha unafiki na ujinga.Nchi ya uzuzu katika ubora wake, manabii wa uongo nao wameshajua watanzania ni mazuzu, mizimu yangu ni imani yangu bora
Hiyo picha ndugu sio Tz jaribu kuzoom utaona hao ni wazungu.Masikini! Huruma sana, hao wote wameenda kutafuta miujiza wakiamini ndio suluhu ya matatizo yao. Inasikitisha.
Acha wivu wa kike nawewe si ukatapeli unashindwa nini...absurd.Tapeli tu huyo.
Serikali inaufumbia macho sn utapeli wa hawa wanaojiita manabii
Hawezi kuwa sawa na Yesu, Yesu ni Munguhuo unabii sijui anawapa Nani?.
Utasikia nabii,Mara mtume yaani mwamposa anakaa daraja Moja na yesu na muhammad?
Acheni mzaha
Picha hii ya stadium sio ya matarawe primary school ground
Naona songea watu wana blonde hair
Best yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]
Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] ccm mbele kwa mbeleNiliona kipeperushi chake mahali (Kwa bahati mbaya), kilichonishangaza ni kuwa katika kipeperushi kizima (Kimechapwa pande zote mbili) sikuona neno Mungu wala neno Yesu. Ni maneno mawili tu ndo yametawala: Mwamposa na Mafuta! I was like WTFFFFFF!!!
Ni kweli asemacho np hukuHiyo picha ndugu sio Tz jaribu kuzoom utaona hao ni wazungu.
Usikubali jambo kirahis
Ni kweli matalawe funguaga star tv saa nane utajioneaPicha hii ya stadium sio ya matarawe primary school ground
Mno mnoNchi hii ina wajinga na wpmbv wengi sana
Ova
Yesu hakuwa nabii ni Mungu usimshushe Yesu darajahuo unabii sijui anawapa Nani?.
Utasikia nabii,Mara mtume yaani mwamposa anakaa daraja Moja na yesu na muhammad?
Acheni mzaha
Ni changamoto kubwa sana mafuta yamekua ni biasharaNiliona kipeperushi chake mahali (Kwa bahati mbaya), kilichonishangaza ni kuwa katika kipeperushi kizima (Kimechapwa pande zote mbili) sikuona neno Mungu wala neno Yesu. Ni maneno mawili tu ndo yametawala: Mwamposa na Mafuta! I was like WTFFFFFF!!!