Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Huu ni umbea, upotoshaji na uchochezi.
 
Akimaliza kuokoa na kuponya watu Tanzania bara..aelekee na visiwani zenji na pemba..kule nako kuna uhitaji mkubwa wa watu kutolewa katika vifungo vya shetani na majini wake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sa kwa nn na ww usingefika maana leo ijumaa ndio shughuli yenyewe. Ila za chini chini kazi anafanya usiku kucha kwa mkwanja mrefu cc wa mchana ni ads tu.
Best yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]

Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
 
Niliona kipeperushi chake mahali (Kwa bahati mbaya), kilichonishangaza ni kuwa katika kipeperushi kizima (Kimechapwa pande zote mbili) sikuona neno Mungu wala neno Yesu. Ni maneno mawili tu ndo yametawala: Mwamposa na Mafuta! I was like WTFFFFFF!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] ccm mbele kwa mbele
 
Wajinga ndio waliwao
 
Niliona kipeperushi chake mahali (Kwa bahati mbaya), kilichonishangaza ni kuwa katika kipeperushi kizima (Kimechapwa pande zote mbili) sikuona neno Mungu wala neno Yesu. Ni maneno mawili tu ndo yametawala: Mwamposa na Mafuta! I was like WTFFFFFF!!!
Ni changamoto kubwa sana mafuta yamekua ni biashara
 
😂😂😂wanaenda tapeliwa hao kule Moshi walikuwa walivyokuwa mazuzu kwa kukanyaga mafuta.
 
Back
Top Bottom