Songea umeme unakatwa zaidi kuliko mji wowote Duniani kwa sasa

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Kila siku umeme wanakata na sasa ni masaa manne yamepita toka wakate na hakuna hitilafu yoyote bali ni maelekezo tu ya mtu mmoja.

Anapiga simu na umeme unakatwa na akijisikia anapiga tena simu kuwasha umeme. Baa anatamba eti nitakata umeme, watu hauwezi, aah umekatwa sasa.

Nimeota haya leo
 
Mkuu Hivi ni kweli mtu anatoa maelekezo ya kukatika kwa umeme? Rationale ya yeye kufanya hivyo ni nini hasa? Na anampa amri hiyo nani?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kuwa na makaa ya mawe lukuki ambayo yapo busy kwenda Ulaya kuwa source of Power.

Hapo wangeweka plant hata ya 50MW inayotumia Makaa ya mawe, maana yake Songea na vitongoji vyake ingekuwa mwayamwaya, poleni ndio vile tena Songea ni mali ya Tanganyika.
 
Makaa ya mawe yanasababisha ajari tu barabarani na hakuna faida kwa mtu duni. wamegawana raslimali za nchi mwingine bandari,mwingine makaa ya mawe,mwingine madini mara utalii na ndege yaani mambo ni moto mambo ni fire
 
Hujawahi kuishi Wilaya ya Muleba ndugu yangu, ukiwekeza kwenye biashara inayotegemea umeme umeliwa.
 
umeme unatumiwa kudhoofisha biashara na uchumi wa watu. TANESCO imekufa zamani na sasa inatapatapa tu.
 
Makaa ya mawe yanasababisha ajari tu barabarani na hakuna faida kwa mtu duni. wamegawana raslimali za nchi mwingine bandari,mwingine makaa ya mawe,mwingine madini mara utalii na ndege yaani mambo ni moto mambo ni fire

Andamaneni mdai umeme, pamoja na kuzuia makaa kutoka. Hakuna wakuwasaidia zaidi ya kujimobilize na kudai haki zenu.

Ulaya na America wamestaarabika na kuheshimiana maana kuna kizazi au vizazi vilikubali kujitoa kwa manufaa ya vizazi vijavyo, sasa nyie mnataka ukombozi huku mnatype mitandaoni na kulala.

Waswahili wanasema kelele za chura hazimtishi Tembo, mbadirike sasa kutoka kwenye uchura ili Tembo asilale kwa raha.
 
Moja katika ya kalakana ya ccm ya kuchukulia kura ni huko

Acheni kusumbua watu
 
Andamaneni mdai umeme, pamoja na kuzuia makaa kutoka. Hakuna wakuwasaidia zaidi ya kujimobilize na kudai haki zenu.

Ulaya na America wamestaarabika na kuheshimiana maana kuna kizazi au vizazi vilikubali kujitoa kwa manufaa ya vizazi vijavyo, sasa nyie mnataka ukombozi huku mnatype mitandaoni na kulala.

Waswahili wanasema kelele za chura hazimtishi Tembo, mbadirike sasa kutoka kwenye uchura ili Tembo asilale kwa raha.
Kwa hiyo kabla ya makaa kutoka nje sharti yawashe kwanza umeme? Nakumbuka sakata la gesi Mtwara na bado bomba limefika Dar na wmedhurumiwa korosho.
 
Andamaneni mdai umeme, pamoja na kuzuia makaa kutoka. Hakuna wakuwasaidia zaidi ya kujimobilize na kudai haki zenu.

Ulaya na America wamestaarabika na kuheshimiana maana kuna kizazi au vizazi vilikubali kujitoa kwa manufaa ya vizazi vijavyo, sasa nyie mnataka ukombozi huku mnatype mitandaoni na kulala.

Waswahili wanasema kelele za chura hazimtishi Tembo, mbadirike sasa kutoka kwenye uchura ili Tembo asilale kwa raha.
TANESCO
 
Mkianza kulipiga mawe gari la mbunge na kumkataa, mkaandamana na kujikusanya wote katikakati ya mji kudai haki zenu na watanzania wengine kokote walipo wakaitikia wito kudai haki na mageuzi ndio siku ambayo Mtanzania anaweza kupona.

Taifa hili liko mikononi mwa maharamia ambao ni ngumu kuwanyan'ganya fuka kwa kulialia bali vitendo na sacrifice pekee ndio suluhu, Mageuzi ya kweli yanahitajika kuirudisha nchi kwenye mikono ya watanzania wote kutoka kwa wanufaika wachache.
 
Back
Top Bottom