Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najari kufikiria starting point iwe wapi barabarani au kijiwe?Mkianza kulipiga mawe gari la mbunge na kumkataa, mkaandamana na kujikusanya wote katikakati ya mji kudai haki zenu na watanzania wengine kokote walipo wakaitikia wito kudai haki na mageuzi ndio siku ambayo Mtanzania anaweza kupona.
Taifa hili liko mikononi mwa maharamia ambao ni ngumu kuwanyan'ganya fuka kwa kulialia bali vitendo na sacrifice pekee ndio suluhu, Mageuzi ya kweli yanahitajika kuirudisha nchi kwenye mikono ya watanzania wote kutoka kwa wanufaika wachache.
Mm nimekumbuka mitaa yangu ya lisaboni[emoji23]Nmepakumbuka Msamala Songea,,
Kwa hiyo kabla ya makaa kutoka nje sharti yawashe kwanza umeme? Nakumbuka sakata la gesi Mtwara na bado bomba limefika Dar na wmedhurumiwa korosho.
Twezetu Bombambili mkuu,,ila ntafika songea tena aisee.Kitambo sana,Mm nimekumbuka mitaa yangu ya lisaboni[emoji23]
Najari kufikiria starting point iwe wapi barabarani au kijiwe?
😂😂 Nina watu wanaishi huko ni vilio kila siku, maji pia ni shida.Uyole ndio balaa na nusu dunia nzima.
Mhh mi naona Dodoma kama pamezidi hiviKila siku umeme wanakata na sasa ni masaa manne yamepita toka wakate na hakuna hitilafu yoyote bali ni maelekezo tu ya mtu mmoja.
Anapiga simu na umeme unakatwa na akijisikia anapiga tena simu kuwasha umeme. Baa anatamba eti nitakata umeme watu hauwezi aah umekatwa sasa.
Nimeota haya leo
Mzee nakuomba Sana kwa heshima na taadhima ,mtaje jina lake ,wadhifa wake ,na anuwani yake ajulikane ndipo dawa ya kurekebisha changamoto hiyo ya makusudi itakoma.Kila siku umeme wanakata na sasa ni masaa manne yamepita toka wakate na hakuna hitilafu yoyote bali ni maelekezo tu ya mtu mmoja.
Anapiga simu na umeme unakatwa na akijisikia anapiga tena simu kuwasha umeme. Baa anatamba eti nitakata umeme watu hauwezi aah umekatwa sasa.
Nimeota haya leo
Aibu hiii kuwa na viongozi mzigo kama likipara ngotoPamoja na kuwa na makaa ya mawe lukuki ambayo yapo busy kwenda Ulaya kuwa source of Power.
Hapo wangeweka plant hata ya 50MW inayotumia Makaa ya mawe, maana yake Songea na vitongoji vyake ingekuwa mwayamwaya, poleni ndio vile tena Songea ni mali ya Tanganyika.
Huku mji wa kiserikali upo muda woteMhh mi naona Dodoma kama pamezidi hivi
Ukilala ukiamka unawaza CCM/CHADEMA. Huo ni utoto jaribu kukua na uone tatizo liko wapi sio uchama kila siku.Mbunge wa hapo si ni waccm , kwanini mnateseka na wakati mlidai wapinzani waliwachelewesha ?