Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
mitambo inasingiziwa tu kwakuwa haiongeiMkuu Hivi ni kweli mtu anatoa maelekezo ya kukatika kwa umeme? Rationale ya yeye kufanya hivyo ni nini hasa? Na anampa amri hiyo nani?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mbunge wa hapo si ni waccm , kwanini mnateseka na wakati mlidai wapinzani waliwachelewesha ?Uyole ndio balaa na nusu dunia nzima.
Makaa ya mawe yanasababisha ajari tu barabarani na hakuna faida kwa mtu duni. wamegawana raslimali za nchi mwingine bandari,mwingine makaa ya mawe,mwingine madini mara utalii na ndege yaani mambo ni moto mambo ni firePamoja na kuwa na makaa ya mawe lukuki ambayo yapo busy kwenda Ulaya kuwa source of Power.
Hapo wangeweka plant hata ya 50MW inayotumia Makaa ya mawe, maana yake Songea na vitongoji vyake ingekuwa mwayamwaya, poleni ndio vile tena Songea ni mali ya Tanganyika.
making'indaNmepakumbuka Msamala Songea,,
Hivi yule Mmarekani wa pale making,inda bado yupo? Jirani na kiwanda cha Tumbakumaking'inda
yupo na Sambi yupo piaHivi yule Mmarekani wa pale making,inda bado yupo? Jirani na kiwanda cha Tumbaku
umeme unatumiwa kudhoofisha biashara na uchumi wa watu. TANESCO imekufa zamani na sasa inatapatapa tu.Hujawahi kuishi Wilaya ya Muleba ndugu yangu, ukiwekeza kwenye biashara inayotegemea umeme umeliwa.
Makaa ya mawe yanasababisha ajari tu barabarani na hakuna faida kwa mtu duni. wamegawana raslimali za nchi mwingine bandari,mwingine makaa ya mawe,mwingine madini mara utalii na ndege yaani mambo ni moto mambo ni fire
sa tufanyaje na imetokea?Mbunge wa hapo si ni waccm , kwanini mnateseka na wakati mlidai wapinzani waliwachelewesha ?
Kwa hiyo kabla ya makaa kutoka nje sharti yawashe kwanza umeme? Nakumbuka sakata la gesi Mtwara na bado bomba limefika Dar na wmedhurumiwa korosho.Andamaneni mdai umeme, pamoja na kuzuia makaa kutoka. Hakuna wakuwasaidia zaidi ya kujimobilize na kudai haki zenu.
Ulaya na America wamestaarabika na kuheshimiana maana kuna kizazi au vizazi vilikubali kujitoa kwa manufaa ya vizazi vijavyo, sasa nyie mnataka ukombozi huku mnatype mitandaoni na kulala.
Waswahili wanasema kelele za chura hazimtishi Tembo, mbadirike sasa kutoka kwenye uchura ili Tembo asilale kwa raha.
ebu tag TANESCOMoja katika ya kalakana ya ccm ya kuchukulia kura ni huko
Acheni kusumbua watu
TANESCOAndamaneni mdai umeme, pamoja na kuzuia makaa kutoka. Hakuna wakuwasaidia zaidi ya kujimobilize na kudai haki zenu.
Ulaya na America wamestaarabika na kuheshimiana maana kuna kizazi au vizazi vilikubali kujitoa kwa manufaa ya vizazi vijavyo, sasa nyie mnataka ukombozi huku mnatype mitandaoni na kulala.
Waswahili wanasema kelele za chura hazimtishi Tembo, mbadirike sasa kutoka kwenye uchura ili Tembo asilale kwa raha.