Songea umeme unakatwa zaidi kuliko mji wowote Duniani kwa sasa

Umeme ni nchi nzima sio Songea wala Uyole. Yaani ni bandika bandua
 
Poleni San hapa niliko ukikatika sas HV baada ya dakik kumi unarejeshwa Tena haraka San na ole wake ukatike Tena meneja anahamishwa kituo

Hpn ddm tz ilazo umeme upo muda wote nilikuja kuchunguza kumbe Niko jirani na mawaziri kadha na maafisa ya juu kbsa wa jeshi jwtz,.
 
Najari kufikiria starting point iwe wapi barabarani au kijiwe?
 
Kwa hiyo kabla ya makaa kutoka nje sharti yawashe kwanza umeme? Nakumbuka sakata la gesi Mtwara na bado bomba limefika Dar na wmedhurumiwa korosho.

hakuna haki duniani inapatikana kirahisirahisi, usaliti uliwagawa wakazi wa mtwara na watesi wao wakapenyea hapo.

Kuna kizazi lazima kijitoa mhanga kuleta mapinduzi na kuhakikisha mamluki na wasaliti wote wanapotea na Taifa kubaki mikononi mwa werevu na wazalendo wa kweli.
 
Najari kufikiria starting point iwe wapi barabarani au kijiwe?

Hamasa kila mahala, kuanzia bar, barabarani, Mashuleni, vyuoni, vijiweni, majumbani na kila mahala... roho ya kujitoa ikivaliwa na kila mtu ndani ya week moja adui atapotea na waliowengi watakomboka.
 
We hujafika hapa sinza madukani [emoji23][emoji23] week mbili zilizoisha zote tumefanya bishara kwa generator
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bar gani huyo jamaa yupo? Kama sio La Charz basi Chantabuli maana ndio maeneo yake ya kujidai [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mhh mi naona Dodoma kama pamezidi hivi
 
Mzee nakuomba Sana kwa heshima na taadhima ,mtaje jina lake ,wadhifa wake ,na anuwani yake ajulikane ndipo dawa ya kurekebisha changamoto hiyo ya makusudi itakoma.



Upumbavu huu wa kiafrika utaanza kupungua halaka .
 
Maeneo ya mkuzo Sapiens namlisawas maeneo mengi hayana umeme
 
Aibu hiii kuwa na viongozi mzigo kama likipara ngoto
 
Mwanza wilaya ya nyamagana kata ya mahina kati ni shida. Kila siku kila muda, asubuhi hadi jioni,usiku hadi asubuhi. Tanesco ni aibu....untouchables kazi yao ni kumnanga magufuli.
 
Mbunge wa hapo si ni waccm , kwanini mnateseka na wakati mlidai wapinzani waliwachelewesha ?
Ukilala ukiamka unawaza CCM/CHADEMA. Huo ni utoto jaribu kukua na uone tatizo liko wapi sio uchama kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…