Sababu kuu ni pesa!! Kanisa limekuwa na muelekeo wa kipesa zaidi kuliko ibada . Kuna michango mingi sana na mingine imehamishiwa kwenye jumuiya kwa lengo la easy monitoring.
Mfumo huu unachagua sana watu , watu wenye influence wanazikwa hadi na maaskofu hata kama walikuwa hawakanyagi kanisani, nina mifano kadhaa kwa hilo ,
On a serious note, swala la
Kutimiza au kutotimiza masharti ya kanisa mtoa hukumu ni mwenyezi Mungu , sio padri au die hard pilgrims, Rc mmejipa majukumu ya kimungu kwa watu wanoondoka hapa duniani.