Songoro: Hatujapokea barua ya Simba SC kutaka kuondoka KMC Complex

Songoro: Hatujapokea barua ya Simba SC kutaka kuondoka KMC Complex

Timu zimekuwa nyingi sana ndani ya uwanja mmoja na wengine wameenda pale kwa shari. Ukiacha matumizi ya mechi, Yanga eti wanautumia pia kwa mazoezi.
Timu sio nyiingi unajua kwann nikupe mfano Pindi Kmc Hana uwanja chamazi ilikuwa inatumiwa na Azam,Kmc,Jkt ....kutumia kwa mazoezi ni kukomoana tu maana si unalipia tu hela
 
Timu sio nyiingi unajua kwann nikupe mfano Pindi Kmc Hana uwanja chamazi ilikuwa inatumiwa na Azam,Kmc,Jkt ....kutumia kwa mazoezi ni kukomoana tu maana si unalipia tu hela
Uwanja unatumika na Simba, Yanga, Simba Queens, Yanga Princess na KMC.

Simba huwa ana kawaida ya kufanya mazoezi pale walau siku moja kabla ya mechi. Kama Simba haijalipia kwa msimu mzima siku hizo za mazoezi, Yanga inaweza kuangalia ratiba wakalipia siku zote ambazo ni siku moja kabla ya mechi ya Simba ili Simba isitumie uwanja siku hiyo. Huo ni mfano mmoja wapo tu.

Halafu nilidhani kuna kanuni ya TFF ya kwamba uwanja wa mazoezi unatakiwa uwe tofauti na wa mechi.
 
Back
Top Bottom