Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Timu sio nyiingi unajua kwann nikupe mfano Pindi Kmc Hana uwanja chamazi ilikuwa inatumiwa na Azam,Kmc,Jkt ....kutumia kwa mazoezi ni kukomoana tu maana si unalipia tu helaTimu zimekuwa nyingi sana ndani ya uwanja mmoja na wengine wameenda pale kwa shari. Ukiacha matumizi ya mechi, Yanga eti wanautumia pia kwa mazoezi.