Songoro: Hatujapokea barua ya Simba SC kutaka kuondoka KMC Complex

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Hahaa sasa Mimi mwenye akili ndogo nawaza......

Utatuma barua ya kuondoka kabla hujakua na uhakika unakokwenda ?.....itakua wanasubiri wapate nafasi kwanza kule ndo waandike huku kwamba twaondoka.
 
Pamoja na kwamba naunga mkono uamuzi wa kutoshea uwanja na Yanga ila Simba kuondoka KMC nako ni uamuzi mgumu sana. Kutoka kambini Mbweni hadi KMC ni dakika sifuri tu na uwanja uko town. Gharama za usafiri za timu zinakuwa chini, wachezaji hawachoki kwa kwenda umbali mrefu kufika na kutoka kwenye mechi na pia mashabiki na timu ilikuwa comfortable pale kupaita nyumbani.

Bado uwanja wa KMC una mapungufu kuanzia pitch hadi majukwaa ila sababu za kubaki KMC ni nzito sana.

Yanga imekuja KMC Complex kwa sababu ya wivu tu na kutaka kuvuruga comfortability ya Simba. Pia Hersi amefanya kampeni kubwa miaka ya karibuni kuleta usasa pale Yanga kwa hiyo kuiona Simba wanaishi na kucheza mechi zao town halafu wao wanaishi na kucheza vijijini huko ilikuwa inaharibu taswira anayotaka kujenga.

Simba itafanya ubaya ubwela hadi Yanga wenyewe wataukimbia uwanja.
 
Kazi kukimbilia viwanja vya wanaume wengine, simba na Yanga miaka kibao ila bado wanadandia viwanja vya wanaume wengine waliovijenga.
 
Pamoja na kwamba naunga mkono uamuzi wa kutoshea uwanja na Yanga ila Simba kuondoka KMC nako ni uamuzi mgumu sana. Kutoka kambini Mbweni hadi KMC ni dakika sifuri tu na uwanja uko town. Gharama za usafiri za timu zinakuwa chini, wachezaji hawachoki kwa kwenda umbali mrefu kufika na kutoka kwenye mechi na pia mashabiki na timu ilikuwa comfortable pale kupaita nyumbani.

Bado uwanja wa KMC una mapungufu kuanzia pitch hadi majukwaa ila sababu za kubaki KMC ni nzito sana.

Yanga imekuja KMC Complex kwa sababu ya wivu tu na kutaka kuvuruga comfortability ya Simba. Pia Hersi amefanya kampeni kubwa miaka ya karibuni kuleta usasa pale Yanga kwa hiyo kuiona Simba wanaishi na kucheza mechi zao town halafu wao wanaishi na kucheza vijijini huko ilikuwa inaharibu taswira anayotaka kujenga.

Simba itafanya ubaya ubwela hadi Yanga wenyewe wataukimbia uwanja.
😄Hawa watu hawawezi kaa pamoja utatokea mtafaruko TU ila siku zinaenda ....Sababu haya malalamiko hayajaanza Leo kabisaa wangetaka yaishe kila mtu angejenga uwanja wake kwani KMC complex c tunaiona mbona by
 
Timu zimekuwa nyingi sana ndani ya uwanja mmoja na wengine wameenda pale kwa shari. Ukiacha matumizi ya mechi, Yanga eti wanautumia pia kwa mazoezi.
 
Back
Top Bottom