Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Songoro Marine ndio kampuni pekeee (local) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania (sijui walikuwa wanatumia mbinu gani)
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza, ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa, ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake, mara tu baada ya matengenezo.
Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya, lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania.
Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya, Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi.
Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE.