Songoro Marine waanza kuisoma namba, wanyimwa kazi ya Kivuko cha Magogoni

Hatuhangaiki na waliokufa
Wewe mjane akili waga huna kabisa narudia tena WIVU+CHUKI+CHADEMA+GENYE zitakuua, Badala ulete thread fikirishi kwanini tunatumia kiasi kinachokaribiana na bei ambayo kivuko kile kile kilinunuliwa kwanini tusinunue kingine tu wewe unaleta hoja zakipimbipimbi tu ambazo kwa jicho tu la kawaida tunang'amua hivyo vitu vinne ndio vinakusumbua!!
 
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .[emoji848][emoji2827]
Na hakuna chombo Cha habari kilirusha,niliwahi msikia RC Homera akiwakoromea MCL.

Songoro ilikuwa ni kichaka Cha upigaji Cha Mwendazake na genge lake..

Walitumia mabilioni kwenye zile meli lakini zikakaa miezi 6 bila kufanya kazi Serikalini ikaingiliwa tena,mwaka Jana mwanzoni ndio zimeanza tena kufanya kazi.

Walitakiwa wawe ndani Kwa Ufisadi.
 
Wewe mjane akili waga huna kabisa narudia tena WIVU+CHUKI+CHADEMA+GENYE zitakuua, Badala ulete thread fikirishi kwanini tunatumia kiasi kinachokaribiana na bei ambayo kivuko kile kile kilinunuliwa kwanini tusinunue kingine tu wewe unaleta hoja zakipimbipimbi tu ambazo kwa jicho tu la kawaida tunang'amua hivyo vitu vinne ndio vinakusumbua!!
Matusi na Uchawi ndio tegemeo la masikini wengi
 
Songoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )

Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .

Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya , lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania .

Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya , Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana ! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi !

Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE .
hii ni biashara ndugu,kukosa na kupata ni kawaida,japo songoro marine wamekosa hiyo tenda lakini wana kazi nyingi pia ni hivi majuzi wamekamilisha speed boat itakayokuwa inasafiri kenya,uganda na tanzania kwa sasa ipo kwenye ukaguzi
 
Tz ni nchi ya Wajinga sana. Kivuko ununue Billion 8.5 mwaka 2011. then baada ya miaka 12, ufanye matengenezo ya Tsh 7billion! Huu ni uchizi. SAMIA Funga watu jela. Wana kuletea mazoea sasa.
 
Songoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )

Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .

Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya , lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania .

Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya , Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana ! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi !

Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE .
Songoro wamekuwepo hata before jakaya or magu

Tusitafute mchawi
 
Na huu ndio ujinga unawagharimu Chadema!

Kuishi kwa visasi kuliko sera!

Huyo Songoro Marine ni kampuni kubwa na imejenga na inaendelea kujenga meli na boti mbalimbali nchini pamoja na nchi jirani.

Alikata rufaa ya kunyimwa tender ya huo ukarabati.
Lakini kwa sababu za 20% kurudi kwa kasi ndio hivyo tena.

Kivuko hicho kilijengwa kwa 7b na ajabu sasa ukarabati ni 8b.

Halafu wewe popoma Erythrocyte unasifia!?

Kweli Chadema in blood ni unyumbu uliopitiliza.
 
Mimi kazi yangu hapa Jf ni kutoa taarifa zilizofichwa na kuzianika , huwa sijali kama kuna mnaoumia moja kwa moja
 
Back
Top Bottom