butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Ikiwa Ufalme wa Msoga umeamua kivuko kiende kukarabatiwa Kenya,sie akina Songoro mnyonge ni nani hasa ata tupinge!!!Kutesa kwa zamu
Kila awamu lazima kuna kundi fulani linatesa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa Ufalme wa Msoga umeamua kivuko kiende kukarabatiwa Kenya,sie akina Songoro mnyonge ni nani hasa ata tupinge!!!Kutesa kwa zamu
Kila awamu lazima kuna kundi fulani linatesa
Ova
Kama ni hivyo sawa,lakini mbona kipindi cha JIWE walikuwa wanatumia single source tu?!!kila kivuko ni songoro?!!Mtoa mada acha siasa fatilia sababu ya kunyimwa.
Kanyimwa sababu alitenda 10bil, wenzake wakatenda 7.5bil
Kazi kwako kuchagua
Mkuu huko Kenya wamepewa Kampuni gani??
Kampuni inaitwa African Marine & General Engineering Co Ltd.Tukipata jina tutaiweka hapa , ila ko Mombasa
Marehemu Mzee Songoro aliiua kampuni yake kwa kukubali kutumiwa na shetwani aliyeko huko jehanamu.Songoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .
Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya , lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania .
Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya , Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana ! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi !
Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE .
Mwambaaa amekwendaaa na waoo waendee jina la Bwana lihimdiweeSongoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .
Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya , lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania .
Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya , Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana ! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi !
Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE .
Mayanga Construction sijui kama wapo , ngoja tuchunguzeHivi mayanga wapo
Ova
Tuonaneee paradisooooSongoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .
Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya , lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania .
Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya , Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana ! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi !
Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE .
Nikiwa Rais Mtalimia meno - MagufuliEti wewe ni Mwana Chadema unayefikiria siku moja chama chako eti kitawale Tanzania wakati unasifia Mtanzania mwenzako kunyimwa kazi/ tenda na kupewa mtu wa nchi jirani. Upumbavu kabisa huu!!
Asante sanaKampuni inaitwa African Marine & General Engineering Co Ltd.
Ipo Mombasa Kenya, Tangana Road, Mbarali Rd, Kenya
Hours: Closed ⋅ Opens 7 am Fri
Phone: +254 720 630000
Nitumie koneksheni hiyo kama kwenye Instagram na kwingineko wanakosapoti konekshenikoneksheni ya Jiwe na Museveni
inatakiwa wahusika wote wawe haiNitumie koneksheni hiyo kama kwenye Instagram na kwingineko wanakosapoti koneksheni
Hata Mayanga construction aendelee kupewa?Ni jambo zuri sana kwa kazi hizi kupewa mzawa. Ndiyo kujenga uwezo wa ndani hivyo. Alitakiwa aendelee kupewa.
HakikaKila zama na nabii wake
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .[emoji848][emoji2827]Songoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .
Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya , lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania .
Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya , Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana ! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi !
Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE .
Chuki na WIVU vimemjaa huyu MjaneMtoa mada acha siasa fatilia sababu ya kunyimwa.
Kanyimwa sababu alitenda 10bil, wenzake wakatenda 7.5bil
Kazi kwako kuchagua
Hatuhangaiki na waliokufaKuichukia CCM na JPM isiwe sababu ya kuwa una leta threads zisizo na idadi kila leo humu ndani!!
Chuki na Wivu utakufa vubaya mkuu sticks kwenye issue za kujenga zaidi!!
Kampuni hii na Nyanza construction, zote za Mwanza, Jiwe alikuwa ana pasenti zake, ndio maana alikuwa anarundika vivuko tu.Songoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )