Songoro Marine waanza kuisoma namba, wanyimwa kazi ya Kivuko cha Magogoni

Marehemu Mzee Songoro aliiua kampuni yake kwa kukubali kutumiwa na shetwani aliyeko huko jehanamu.
 
Mwambaaa amekwendaaa na waoo waendee jina la Bwana lihimdiwee
 
Tuonaneee paradisoooo
Tuonaneeeee......paradisooo .....kwenye mji wa rahaa na....tutamwonaaa....na...mutamwonaaaa wapi...kwenye.mj8 wa raha
Wapumzike kwa amaani zamu yabwenzao wakaeemkimya mpaka mesiaah atakporudi allah
 
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .[emoji848][emoji2827]
 
Kampuni hii na Nyanza construction, zote za Mwanza, Jiwe alikuwa ana pasenti zake, ndio maana alikuwa anarundika vivuko tu.

Kuna barabara ya kigoma makame mbarawa alikuwa anapiga kelele lakini nyanza wanamcheki tu
Nadhani wanaotakiwa kufuata kuisoma namba ni hao wahindi wa nyanza, hovyo kabisa.

Songoro Walipeleka kiboti Chao Cha mwendo kasi Bukoba, wakatolewa nduki, na kule siji goziba walikopeleka, kampuni ya meli MCCL inapeleka meli kongwe iliyokarabatiwa ya MV Clarius, Kila mahali wanakabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…