Wewe mjane akili waga huna kabisa narudia tena WIVU+CHUKI+CHADEMA+GENYE zitakuua, Badala ulete thread fikirishi kwanini tunatumia kiasi kinachokaribiana na bei ambayo kivuko kile kile kilinunuliwa kwanini tusinunue kingine tu wewe unaleta hoja zakipimbipimbi tu ambazo kwa jicho tu la kawaida tunang'amua hivyo vitu vinne ndio vinakusumbua!!Hatuhangaiki na waliokufa
Songoro ni zaidi ya uijuavyo, Jiwe yumoEti wewe ni Mwana Chadema unayefikiria siku moja chama chako eti kitawale Tanzania wakati unasifia Mtanzania mwenzako kunyimwa kazi/ tenda na kupewa mtu wa nchi jirani. Upumbavu kabisa huu!!
Single source ni njia ya upigaji gharama kubwaKama ni hivyo sawa,lakini mbona kipindi cha JIWE walikuwa wanatumia single source tu?!!kila kivuko ni songoro?!!
Na hakuna chombo Cha habari kilirusha,niliwahi msikia RC Homera akiwakoromea MCL.Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .[emoji848][emoji2827]
Asante sana MkuuKampuni inaitwa African Marine & General Engineering Co Ltd.
Ipo Mombasa Kenya, Tangana Road, Mbarali Rd, Kenya
Hours: Closed ⋅ Opens 7 am Fri
Phone: +254 720 630000
Matusi na Uchawi ndio tegemeo la masikini wengiWewe mjane akili waga huna kabisa narudia tena WIVU+CHUKI+CHADEMA+GENYE zitakuua, Badala ulete thread fikirishi kwanini tunatumia kiasi kinachokaribiana na bei ambayo kivuko kile kile kilinunuliwa kwanini tusinunue kingine tu wewe unaleta hoja zakipimbipimbi tu ambazo kwa jicho tu la kawaida tunang'amua hivyo vitu vinne ndio vinakusumbua!!
hii ni biashara ndugu,kukosa na kupata ni kawaida,japo songoro marine wamekosa hiyo tenda lakini wana kazi nyingi pia ni hivi majuzi wamekamilisha speed boat itakayokuwa inasafiri kenya,uganda na tanzania kwa sasa ipo kwenye ukaguziSongoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .
Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya , lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania .
Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya , Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana ! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi !
Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE .
CDM Marine ltdMkuu huko Kenya wamepewa Kampuni gani??
Sasa ilikuwaje Mv Mwanza (109Billion) wakapewa wakorea na siyo Songoro enzi hizo hizo za jiwe?Wakati wa Jiwe waliobid chini walinyimwa alipewa yeye , hiyo ilikuwaje kwani ?
Hiyo kazi alipewa Songoro nyuma ya pazia lakini akaitema , kutokana na uwezo wake duni , ndio akatafutwa mkoreaSasa ilikuwaje Mv Mwanza (109Billion) wakapewa wakorea na siyo Songoro enzi hizo hizo za jiwe?
Dah Jamaa alikufi...l NINI ?? Si kwa kumchukia hivoSongoro Marine = Jiwe.
...na
Jiwe yupo motoni.
So kazi kwako
Songoro wamekuwepo hata before jakaya or maguSongoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .
Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya , lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania .
Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya , Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana ! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi !
Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE .
Na huu ndio ujinga unawagharimu Chadema!Songoro Marine ndio kampuni pekeee ( local ) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania ( sijui walikuwa wanatumia mbinu gani )
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza , ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa , ambazo zilirudishwa gereji baada ya kunusurika kuua abiria wake , mara tu baada ya matengenezo .
Huyu kwa sasa ni Marehemu baada ya kufariki kwa kilichosemekana ni Ugonjwa wa moyo huko Mbeya , lakini kampuni yake ingali inafanya kazi za meli na vivuko nchini Tanzania .
Lakini leo twaambiwa kwamba amenyimwa kazi ya Kivuko cha Kivukoni na ikapewa kampuni ya Kenya , Kweli bila Koneksheni mambo huwa magumu sana ! Leo kampuni iliyopewa kazi bila hata kuandika barua ya maombi na wala bila kushindanishwa na yeyote inanyimwa kazi !
Ama kweli KILA AWAMU NA MAMBO YAKE .
Mimi kazi yangu hapa Jf ni kutoa taarifa zilizofichwa na kuzianika , huwa sijali kama kuna mnaoumia moja kwa mojaNa huu ndio ujinga unawagharimu Chadema!
Kuishi kwa visasi kuliko sera!
Huyo Songoro Marine ni kampuni kubwa na imejenga na inaendelea kujenga meli na boti mbalimbali nchini pamoja na nchi jirani.
Alikata rufaa ya kunyimwa tender ya huo ukarabati.
Lakini kwa sababu za 20% kurudi kwa kasi ndio hivyo tena.
Kivuko hicho kilijengwa kwa 7b na ajabu sasa ukarabati ni 8b.
Halafu wewe popoma Erythrocyte unasifia!?
Kweli Chadema in blood ni unyumbu uliopitiliza.
Mimi sio Maskini ukiacha hayo mambo niliyokushauri wewe Msimbe utakuwa na akili sanaMatusi na Uchawi ndio tegemeo la masikini wengi
Sasa unafikiri Mv Mwanza ni Ptoject nyepesi mkuu!??Sasa ilikuwaje Mv Mwanza (109Billion) wakapewa wakorea na siyo Songoro enzi hizo hizo za jiwe?
Hao huwa haziwatoshi na huwa hawana uzalendo zaidi ya kuangalia matumbo yao na uroho wa uongozi.Eti wewe ni Mwana Chadema unayefikiria siku moja chama chako eti kitawale Tanzania wakati unasifia Mtanzania mwenzako kunyimwa kazi/ tenda na kupewa mtu wa nchi jirani. Upumbavu kabisa huu!!