Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Feb 20, 2023 #81 Kama mzawa hana uwezo? Lycaon pictus said: Ni jambo zuri sana kwa kazi hizi kupewa mzawa. Ndiyo kujenga uwezo wa ndani hivyo. Alitakiwa aendelee kupewa. Click to expand...
Kama mzawa hana uwezo? Lycaon pictus said: Ni jambo zuri sana kwa kazi hizi kupewa mzawa. Ndiyo kujenga uwezo wa ndani hivyo. Alitakiwa aendelee kupewa. Click to expand...
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Feb 20, 2023 #82 Yoda said: Kama mzawa hana uwezo? Click to expand... Anajengewa uwezo, Uzuri kaisha onyesha mwanga. Nchi ndivyo zilivyoendelea.
Yoda said: Kama mzawa hana uwezo? Click to expand... Anajengewa uwezo, Uzuri kaisha onyesha mwanga. Nchi ndivyo zilivyoendelea.
Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Feb 20, 2023 #83 Erythrocyte said: Wakati wa Jiwe waliobid chini walinyimwa alipewa yeye, hiyo ilikuwaje kwani? Click to expand... lete ushahidi wa hizo bids
Erythrocyte said: Wakati wa Jiwe waliobid chini walinyimwa alipewa yeye, hiyo ilikuwaje kwani? Click to expand... lete ushahidi wa hizo bids
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Feb 20, 2023 #84 Twilumba said: lete ushahidi wa hizo bids Click to expand... Tukuletee ushahidi wewe kama nani?
greenwoods JF-Expert Member Joined Sep 21, 2020 Posts 2,328 Reaction score 3,955 Feb 20, 2023 #85 Nchi inafeli sababu watu wanaweka ushabiki kama wa simba na yanga kwenye maslahi ya taifa.
Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Feb 20, 2023 #86 Stress Challenger said: Tukuletee ushahidi wewe kama nani? Click to expand... mlipa kodi.....au ulita iwe kama nani labda?
Stress Challenger said: Tukuletee ushahidi wewe kama nani? Click to expand... mlipa kodi.....au ulita iwe kama nani labda?