Songwe: Ahukumiwa jela miaka mitatu kwa kumtukana Rais Magufuli

mwache wampeleke huko akaolewe akitoka atajua adabu kutotukana viongozi hovyo
 
Matumizi mabaya ya Kodi zetu..., majambazi wamezagaa mtaani mnajaza magereza kwa kufunga watu sababu wamemtukana mtu..., wangapi wanatukanwa na watukanao hawafungwi ?, Kumbuka technically huyo aliyemtukana ndiye aliyemwajiri aliyetukanwa sababu analipwa kwa kodi na nguvu kazi ya huyo kijana....
 
Reactions: PNC
Hawa watu wanaomtusi Jiwe wanasumbuliwa na stress.

Jambo la kujiuliza ni kwanini watu wanastress sana siku hizi hadi wanatukana hovyo!

Kuna Rais ambaye hajawahi tukanwa hapa nchini?

Nakumbuka hata enzi za Mwinyi alifunga chuo kikuu mlimani, wanafunzi walinchora akiwa uchi na matusi kibao mpaka akafunga chuo

Mkapa usiseme, Kikwete ndio aliyaoga sana sema alikuwa ajari. Magufuli hapendi kutukanwa vijana badilikeni, heshimu wakubwa yeye ni mkuu wanchi hata kama hampendi.
 
Nafikiri ifike mahala watu tujifunze kujenga hoja na sio kutukana..
Tena Mh.Rais unategemea nini!?

Hata kwa wenzako tu, tujifunze kupanga points tujenge hoja

Yawezekana alikua na 'frustrations' fulani ama ujumbe wa kuwasilisha ila namna ya uwasilishwaji ikawa sio ya staha
 
Bora miaka mitatu jela kuliko kulipa milioni tano! Sipendagi ujinga mimi.
 
Hawa watu wanaomtusi Jiwe wanasumbuliwa na stress.

Jambo la kujiuliza ni kwanini watu wanastress sana siku hizi hadi wanatukana hovyo!
Jibu ni easy Sana..maisha yamekuwa magumu..ndo maana unaona tuna stress
 
Jamani nendeni mkawaambie kama wana hamu ya kutema nyongo wasubiri kwanza miaka 100 mbele
 
Safi sana mkuu. Ninakuunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…