Songwe: Ahukumiwa jela miaka mitatu kwa kumtukana Rais Magufuli

Songwe: Ahukumiwa jela miaka mitatu kwa kumtukana Rais Magufuli

Hao ni wafuasi wa kigogo na Mdude Nyangali wa Chadema.

Acha waende jela wakapapaswe.
 
Wange msamehe tu huyu mwenyewe ana ugumu wa maisha hajui kesho yake
Kuna watu hapa duniani wapo kwa ajili ya mafunzo Kama vile madaktari wanavyojifunzaga baadhi ya vitu kutoka kwa maiti ambazo hazitambuliki mwny ndugu nk..
 
Ametukana tusi gani Mkuu?

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Kuna watu hapa duniani wapo kwa ajili ya mafunzo Kama vile madaktari wanavyojifunzaga baadhi ya vitu kutoka kwa maiti ambazo hazitambuliki mwny ndugu nk..
Adhabu Kali Sana jamani
 
Marekani ambako ndio baba ya demekrasia duniani marais wavTaifa hilo wanatukanwa matusi makubwa hadharani hawafungwi! Bongo mnawafunga! Acheni hujuma.
 
Tungejikita kwanza kuwatafuta na kuwa adhibu waliotaka kumuuwa Lissu kwa kutumia silaha za kivita kwenye makazi ya viongozi area D. MAANA HAO WANA SILAHA HATAREE ZAIDI YA MATUSI.
Wana akili basi ya kufanya hilo.
 
Kuna Rais ambaye ajawahi tukanwa hapa nchini? Nakumbuka hata enzi za Mwinyi alifunga chuo kikuu mlimani, wanafunzi walinchora akiwa uchi na matusi kibao mpaka akafunga chuo Mkapa usiseme, Kikwete ndio aliyaoga sana sema alikuwa ajari. Magufuri apendi kutukanwa vijana badirikeni, eshimu wakubwa Yeye ni mkuu wanchi hata kama amupendi.
Mtu ambaye anasumbuliwa na vitu vya kipuuzi ni mtu hasiyejiamini. Kuna mtu mkubwa sana hajiamini.
 
Kamtukana ,kwani mwenyewe hata anajua katukanwa?
Ma CCM ujinga mtupu. Mimi humu mbona netukanwa zaidi ya mara elfu moja , nimepungukiwa kitu gani?
Huyo Raisi wenu Magufuli na wewe unayemtetea nyote hamna akili na hamna adabu. Haya njooni mnikamate
Pumbavu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji89][emoji89][emoji89][emoji89] kalagabao
 
Back
Top Bottom