Songwe: Ahukumiwa jela miaka mitatu kwa kumtukana Rais Magufuli

Hao ni wafuasi wa kigogo na Mdude Nyangali wa Chadema.

Acha waende jela wakapapaswe.
 
Wange msamehe tu huyu mwenyewe ana ugumu wa maisha hajui kesho yake
Kuna watu hapa duniani wapo kwa ajili ya mafunzo Kama vile madaktari wanavyojifunzaga baadhi ya vitu kutoka kwa maiti ambazo hazitambuliki mwny ndugu nk..
 
Ametukana tusi gani Mkuu?

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Kuna watu hapa duniani wapo kwa ajili ya mafunzo Kama vile madaktari wanavyojifunzaga baadhi ya vitu kutoka kwa maiti ambazo hazitambuliki mwny ndugu nk..
Adhabu Kali Sana jamani
 
Marekani ambako ndio baba ya demekrasia duniani marais wavTaifa hilo wanatukanwa matusi makubwa hadharani hawafungwi! Bongo mnawafunga! Acheni hujuma.
 
Tungejikita kwanza kuwatafuta na kuwa adhibu waliotaka kumuuwa Lissu kwa kutumia silaha za kivita kwenye makazi ya viongozi area D. MAANA HAO WANA SILAHA HATAREE ZAIDI YA MATUSI.
Wana akili basi ya kufanya hilo.
 
Mtu ambaye anasumbuliwa na vitu vya kipuuzi ni mtu hasiyejiamini. Kuna mtu mkubwa sana hajiamini.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji89][emoji89][emoji89][emoji89] kalagabao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…