balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,841
- 15,673
Leten namba ya mpesa ,tigo pesa ,halopesaFadhili Silwimba, mkazi wa kijiji cha Nzoka Wilayani Momba Mkoani Songwe, amehukumiwa kulipa faini ya shillingi Millioni 5 au kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kukutwa na hatia ya kumtusi Rais Wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Magufuli katika mtandao wa Facebook...
Trump mwenyewe anatukanwa sembuse huyo wenu?UNAONA KAFANYA JAMBO JEMA KUMTUKANA RAIS, LABDA ATETEWE NA WAKOSA ADABU WENZIE
[emoji28][emoji28][emoji28]Kwa jinsi nilivyo majalala nikiambiwa nipewe milion tano cash halafu niende jela miaka mitatu na viboko sita siku ya kutoka sivungi
Sasa mkuu ukitukana unapata sifa? mie binafsi naonaga ni kukosa akili tu huwez kumvurumshia matusi Raisi wa Nchi kiboya boya hata kama sio mwana CCM tatizo watu wanavamia sio kila mtu awe mwanasiasa wengine tuwe watazamaji madhara yake ndio kama hao wale waliomgongea like woote wamejificha sa hz anaenda kulamba sembe la jela peke yake kwa kumsaidia naomba nimuombe Mheshimiwa Rais amsamehe huyu kijana Sura yake yenyewe inaonesha ana maisha magumu mno na ana wategemezi kama baba unapita hapa tafadhali naomba umsamehe huyo popoma asiejitambuaTatizo la vijana wanapenda sifa mitandaoni
Acha ujinga wewe uonevu gani sasa muone domo lake mtakua lini lakini?Ungetukanwa ww ungesema ni uonevu?
Mkuu tulia tu ni swala la muda utamuona anaomba huruma hapa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji89][emoji89][emoji89][emoji89] kalagabao
Sasa wakilitukana hilo tusi hapa, si ndiyo wanalirejea kosa hilo hilo?Liwekwe hapa hilo tusi tulipime kwa mizani tuone kama linakwenda sambamba na hukumu
Ukiwa unafanya mambo ya kipuuzi lazima utatukanwa.UNAONA KAFANYA JAMBO JEMA KUMTUKANA RAIS, LABDA ATETEWE NA WAKOSA ADABU WENZIE
Ujinga tuMkuu tulia tu ni swala la muda utamuona anaomba huruma hapa
Mkuu swala la kutukana viongoz haswa matusi ya nguoni sio sawa tatizo watu hawajui kutofautisha ukosiaji na matusi ya nguoni ila kifupi matusi sio sawaWANAOMTUKANA TRUMP PIA HAWANA ADABU, WEWE UNAWEZA KUMTUKANA MTU? UMELELEWA WAPI AMBAPO KUTUKANA KWENU NI JAMBO LA KAWAIDA? HATA ANGEKUTUKANA WEWE MSIMAMO WANGU NI KUA HANA ADABU
Ndio nyie hamuelewi tofauti ya kutukana na kukosolewa kwa ukweli ulio mchungu.WANAOMTUKANA TRUMP PIA HAWANA ADABU, WEWE UNAWEZA KUMTUKANA MTU? UMELELEWA WAPI AMBAPO KUTUKANA KWENU NI JAMBO LA KAWAIDA? HATA ANGEKUTUKANA WEWE MSIMAMO WANGU NI KUA HANA ADABU
Ungekuwa na angalau A B za Mahakama ungejua kuwa tusi liaruhusiwa kuwekwa hadharani ili lijadiliwe.Sasa wakilitukana hilo tusi hapa, si ndiyo wanalirejea kosa hilo hilo?
Sawa na mtu anayekatazwa kuongea sehemu: ' nyamazeni msiongee hapa', kisha mtu huyo anasema: ' mimi siongei ninanyamaza'... je huyo atakuwa hajatenda kosa la kuvunja amri ya kutoongea?
yaani mnajidanganya kweli hivi ujambazi ulivyotulia sasa hivi utasema kuna majambazi mtaani? hebu mshukuruni magufuli kwa jitihada zake huyo mtoto acha al jeuri yake mmeshazoea mnatukana halafu watu waanze kupiga kelele kuwa tetea bado mdude chadema naye apigwe mvua nyingi ili iwe fundisho sasahivi anaenda mahakamani hakuna hata wa kumshabikia anakoma mwenyeweMatumizi mabaya ya Kodi zetu..., majambazi wamezagaa mtaani mnajaza magereza kwa kufunga watu sababu wamemtukana mtu..., wangapi wanatukanwa na watukanao hawafungwi ?, Kumbuka technically huyo aliyemtukana ndiye aliyemwajiri aliyetukanwa sababu analipwa kwa kodi na nguvu kazi ya huyo kijana....
Dawa yao ni kama hiyo hakuna namna vijana wanajitoa sana ufahamuKABISA, BILA WAKOSOAJI SERIKALI ZOTE DUNIANI HAZIENDI, WAKOSOE PASIPO KUTUKANA, WAJE NA POINTS SIO MTU KUTUKANA WATU NA HASA UTAKUTA KIJANA MDOGO ANAVYOTUKANA SASA VIONGOZI AMBAO NI WAKUBWA KULIKO WAZAZI WAO, HII NI LAANA KABISA KUTUKANA TUKANA