Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Tafadhali sana mtoto Happy aende shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kulikuwa kuwa na form four wengi ambao hawana maana yoyoteKuna Logic kubwa sana! Angepelekwa hata VETA akajifunze painting, tailoring, etc. Sijui kwanini mfumo wetu uko hivi!
Kwanini asiende ufundi?Tafadhali sana mtoto Happy aende shule
Kwa nini mtoto Happy aende ufundi na siyo form one?Kwanini asiende ufundi?
Well said elimu ya ufundi ina maana kubwa kuliko hii kwenda kupoteza mudaAkishasema bosi wenu, hata kama ni ujinga! Basi ni lazima muunge mkono! Unataka uniambie Watanzania wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali mfano michezo, sanaa, uimbaji, ufundi, nk wamesoma mpaka kidato cha nne na kuendelea?
Au hayo mafanikio yao yametokana na hii elimu yetu ya kukaririshana? Mbona nyinyi watu ni wakaidi sana? Au mna ajenda yenu ya siri ya kutaka kuendelea kuwatawala Watanzania kupitia mfumo wenu mbovu wa elimu?
Wewe hiyo form four yako imekusaidia nini? kuna fundi anakosa kazi? acha kukariri mkuuKwa nini mtoto Happy aende ufundi na siyo form one?
Ufundi ni mzuri sana kama mtu ataenda akiwa ameshamaliza form four au form six.By the way umejuaje kuwa mtoto Happy ataishia tu form four na hataendelea hadi chuo kikuu awe rubani?Wewe hiyo form four yako imekusaidia nini? kuna fundi anakosa kazi? acha kukariri mkuu
Baba ake amesema hana akili za darasani, acha kukariri maisha. Form four/six kuna nini cha maana pale zaidi ya kukariri?Ufundi ni mzuri sana kama mtu ataenda akiwa ameshamaliza form four au form six.By the way umejuaje kuwa mtoto Happy ataishia tu form four na hataendelea hadi chuo kikuu awe rubani?
Sasa umejuaje kuwa alichoongea Baba ni ukweli?Na kama Baba anataka ale mahari ili mtoto Happy aolewe je?Inawezeka Baba anasingizia kuwa mtoto hana akili kwa sababu maybe ana malengo mengine na mtoto Happy kama vile kumuozesha.Baba ake amesema hana akili za darasani, acha kukariri maisha. Form four/six kuna nini cha maana pale zaidi ya kukariri?
mwamba kauzu😂😂Mzee mwenyewe huyu hapa wakati anabishana na DC
View attachment 1689713
Wewe ndiyo una malengo sasahihi kuliko baba ake?Sasa umejuaje kuwa alichoongea Baba ni ukweli?Na kama Baba anataka ale mahari ili mtoto Happy aolewe je?Inawezeka Baba anasingizia kuwa mtoto hana akili kwa sababu maybe ana malengo mengine na mtoto Happy kama vile kumuozesha.
Hana habari na DC wala uoga.......ila nadhani huyu anatakiwa kuelimishwa na si kutumia nguvu,maana pale ileje na Malawi ni pua na mdomo,anaweza vuka mpaka na familia huyumwamba kauzu😂😂
ni kweli kabisaHana habari na DC wala uoga.......ila nadhani huyu anatakiwa kuelimishwa na si kutumia nguvu,maana pale ileje na Malawi ni pua na mdomo,anaweza vuka mpaka na familia huyu
Pendekeza utatuzi wa changamoto ya viboko maana ya DC hajazungumzia tatizo la msingi-vibokoHuyo mzazi huenda kutokujua lakini alipaswa kuadhibiwa sababu sheria inasema kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne hiyo ni elimu ya msingi hivyo kila mtanzania ana wajibu wa kupata pasipo na kikwazo chochote kile.
Miaka ileeeee ya '70 ukiingia darasa la tano - maarufu kama"Middle school" tulifunzwa Useremala, Sayansi Kimu (upishi, udobi, ushonaji na usafi), Kilimo na ufugaji.Unafahamu huo umri aliomaliza nao?? Fikilia awe amemaliza std 7 na miaka 13, huyu ataweza kusukuma chelehani au anaweza kubeba tofali au kusukuma landa au msumeno?? Watoto wanamaliza na umri mdogo saanaa. Na hili suala wizala ya elimu walitizame upyaa.
Hapana.kama ni elimu ya msingi.kwanini pawe na mtihani wa mchujo?za kuambiwa ongeza na zako mzee babaHuyo mzazi huenda kutokujua lakini alipaswa kuadhibiwa sababu sheria inasema kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne hiyo ni elimu ya msingi hivyo kila mtanzania ana wajibu wa kupata pasipo na kikwazo chochote kile.
Kwa Tanzania compasary education ni std 7. Secondary ni competitive na sio lazima mtu kwenda secondary, kwamaana hiyo mtu akihitimu std 7 inatoshaa. Kwahali hiii sasa serikali inatakiwa kuchunguza umri wa kuanza darasa la kwanza, kwakuwa watoto hawa siku izi wanamaliza compasary education wakiwa na umri mdogo saaana ambao kihalisia siomsaada kwa kazi za ujenzi wa taifa.Miaka ileeeee ya '70 ukiingia darasa la tano - maarufu kama"Middle school" tulifunzwa Useremala, Sayansi Kimu (upishi, udobi, ushonaji na usafi), Kilimo na ufugaji.
Mimi niliingia nikiwa na miaka 11. Hadi leo natamba kwa ujuzi huo.
Hata uendeshaji bora wa maisha yangu umejikita hapo.
Iwapo unafuatilia vema masuala ya elimu, miaka ya karibuni baadhi ya wazazi na vijana hawataki elimu ya sekondari ya juu (kidato cha tano).
Wanapendelea zaidi kujifunza ujuzi/ufundi.
Wanaamua kujiunga na vyuo badala ya kuhitaji umaarufu wa kusoma sekondari ya juu.
Wazo la kusoma stadi baada elimu ya msingi halina nguvu kwa kuwa tunahitaji maarifa mengi zaidi kabla ya kuwa mahiri katika ujuzi.
Hata hivyo tusipuuze wanaowaza kusoma elimu ya ufundi badala ya elimu ya sekondari.