GE2025 Songwe: Condester Sichalwe aongoza kwa kura 4,872 Jimbo la Momba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430

CONDESTER SICHALWE AONGOZA KWA KURA 4,872 JIMBO LA MOMBA - SONGWE​

Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Condester Michael Sichalwe ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 4,872.

Condester Sichalwe amewashinda makada wenzake watano aliokuwa akigombea nao kwenye kinyang'anyiro hicho kufuatia uchaguzi uliofanyika nchini kote Agosti 4, 2025 ikiwemo katika Jimbo la Momba

Matokeo hayo ya kura yamepatikana kupitia Upigaji Kura wa Wajumbe uliofanyika kwenye Kata zote za Jimbo la Momba ambapo Mbunge anayemaliza muda wake Condester Sichalwe ameongoza kwa kuwapita wapinzani wake.

WhatsApp Image 2025-08-10 at 12.06.45.jpeg

WhatsApp Image 2025-08-10 at 12.06.45 (1).jpeg
 
CONDESTER SICHALWE AONGOZA KWA KURA 4,872 JIMBO LA MOMBA - SONGWE​

Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Condester Michael Sichalwe ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 4,872.

Condester Sichalwe amewashinda makada wenzake watano aliokuwa akigombea nao kwenye kinyang'anyiro hicho kufuatia uchaguzi uliofanyika nchini kote Agosti 4, 2025 ikiwemo katika Jimbo la Momba

Matokeo hayo ya kura yamepatikana kupitia Upigaji Kura wa Wajumbe uliofanyika kwenye Kata zote za Jimbo la Momba ambapo Mbunge anayemaliza muda wake Condester Sichalwe ameongoza kwa kuwapita wapinzani wake.
huyu huyu aliyekuwa anazomewa bungeni kwa uvaaji wake, huyu ambaye alikuwa anatetea Pombe bungeni inaonesha wazi hilo jimbo halina ushindani mkubwa...
 
Chaguzi kutokua huru imesababisha wabunge useless kama huyu kupata free pass kurudi bungeni. Mtu akishapitishwa CCM anajua automatically ndio mbunge anayesubiri kuapishwa.

Licha ya mazuri mengi ya JPM ila alipitisha wabunge wabovu sana 2020 na madhara tunayaona leo.
 
CONDESTER SICHALWE AONGOZA KWA KURA 4,872 JIMBO LA MOMBA - SONGWE​

Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Condester Michael Sichalwe ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 4,872.

Condester Sichalwe amewashinda makada wenzake watano aliokuwa akigombea nao kwenye kinyang'anyiro hicho kufuatia uchaguzi uliofanyika nchini kote Agosti 4, 2025 ikiwemo katika Jimbo la Momba

Matokeo hayo ya kura yamepatikana kupitia Upigaji Kura wa Wajumbe uliofanyika kwenye Kata zote za Jimbo la Momba ambapo Mbunge anayemaliza muda wake Condester Sichalwe ameongoza kwa kuwapita wapinzani wake.

View attachment 3438155
View attachment 3438157
Nilitaka nishangae huyu dada anaepambania pombe za kienyeji kupewa Heshima anawezaje Kushindwa na hao wa kuokoteza kina Nanyaro?
 
Walisema ameshindwa. Nilihuzunika sana. Leo nimebubujikwa na machozi ya furaha.
 
Back
Top Bottom