Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,430
huyu huyu aliyekuwa anazomewa bungeni kwa uvaaji wake, huyu ambaye alikuwa anatetea Pombe bungeni inaonesha wazi hilo jimbo halina ushindani mkubwa...
CONDESTER SICHALWE AONGOZA KWA KURA 4,872 JIMBO LA MOMBA - SONGWE
Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Condester Michael Sichalwe ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 4,872.
Condester Sichalwe amewashinda makada wenzake watano aliokuwa akigombea nao kwenye kinyang'anyiro hicho kufuatia uchaguzi uliofanyika nchini kote Agosti 4, 2025 ikiwemo katika Jimbo la Momba
Matokeo hayo ya kura yamepatikana kupitia Upigaji Kura wa Wajumbe uliofanyika kwenye Kata zote za Jimbo la Momba ambapo Mbunge anayemaliza muda wake Condester Sichalwe ameongoza kwa kuwapita wapinzani wake.
Nilitaka nishangae huyu dada anaepambania pombe za kienyeji kupewa Heshima anawezaje Kushindwa na hao wa kuokoteza kina Nanyaro?
CONDESTER SICHALWE AONGOZA KWA KURA 4,872 JIMBO LA MOMBA - SONGWE
Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Condester Michael Sichalwe ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 4,872.
Condester Sichalwe amewashinda makada wenzake watano aliokuwa akigombea nao kwenye kinyang'anyiro hicho kufuatia uchaguzi uliofanyika nchini kote Agosti 4, 2025 ikiwemo katika Jimbo la Momba
Matokeo hayo ya kura yamepatikana kupitia Upigaji Kura wa Wajumbe uliofanyika kwenye Kata zote za Jimbo la Momba ambapo Mbunge anayemaliza muda wake Condester Sichalwe ameongoza kwa kuwapita wapinzani wake.
View attachment 3438155
View attachment 3438157