Pre GE2025 Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu yote miwili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tlaatlaah andaa ngoko Kamanda Muda wowote wheelchair itakuhusu.πŸ˜‚
gentleman,
ni nina kazi muhimu ya wananchi ya kuandaa na kujipanga kwaajili ya ushindi wa kishindo kwa wagombea uongozi wa CCM vijiji na vitongoji vyote Jimboni pangu Nov 27,2024,

mambo binafsi ikiwa ni pamoja na mafumanizi ya wenye tamaa na vya watu, yatafutiwe ufumbuzi kibinafs πŸ’
 
Huu upendo unapaswa kusambazwa nchi nzima. Kila mwanaccm avunjwe miguu na mikono
 
Ushindi wa kura za gizan na rundo la Aafande.
 
Ubaya ubwela , hii ndio Songwe ninayoijua mimi , ngome ya wapinzani Chadema , kunawatu wabishi kule balaa .
Waanze tu kuwawawinda na kuwachuna ngozi Makada uchwara wa ccm kama walivyokuwa wanachuna ngozi watu miaka ya 90 huko ,mimi nitawapa support kabisa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ,wao si wanajifanya wahuni wa kutengeneza vikosi vya wasiojulikana wakati hii michezo Mbozi kule inafanywa kitambo
 
Mbozi inapsawa kupewa hadhi ya mkoa wa kipolisi.
 
Safi kiaje angekuwa nduguyo ungesema hivyo? Siasa isiondoe ubinadamu wako
Si bora huyo kavunjwa miguu je wachadema mnawapiga risasi kuwayoboa macho na kuwamwagia tindikali nao wasrmeje? Kina ben saanane si mnafurahi hadi leo!?
 
Safi kabisa shenzi taipu
 
Ushindi wa kura za gizan na rundo la Aafande.
ushindi ni ushindi tu gentleman hata ukalalamike vpi hakuna namna unaweza kuzuia au kuudhoofisha ushindi wa kishindo hasa kwa wagombea uongozi wa CCM πŸ’
 
ushindi ni ushindi tu gentleman hata ukalalamike vpi hakuna namna unaweza kuzuia au kuudhoofisha ushindi wa kishindo hasa kwa wagombea uongozi wa CCM πŸ’
Ndio sababu mnavunjana miguu.
 
Hii inatakiwa ifanyike nchi nzima,hawa ma WEOs na VEOs wanatakiwa waipate chungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…