Pre GE2025 Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu yote miwili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba wilayani lleje, Mkoa wa Songwe, Huruma Ally amevamiwa na watu wasiojulikana na kumvunja miguu yote miwili.
View attachment 3148829
Akizungumzia tukio hilo leo Jumapili, Novemba 10, 2024 mjini lleje, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wilayani hapa, Maoni Mbuba amesema uvamizi huo umetokea usiku wa kuamkia jana Jumamosi, Novemba 9,2024, huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.

Mbuba amesema katibu huyo amevamiwa saa nne usiku, eneo la Shule ya Msingi Itumba na aliokotwa na wasamaria wema akiwa katika hali mbaya, baada ya kuvunjwa miguu na kupoteza fahamu.

Amesema alipelekwa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kwa matibabu, huku akisema kitendo hicho hakikubaliki na kimezua taharuki hususani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.

Mbuba amesema CCM Wilaya ya Ileje inalaani kitendo hicho, huku akiwataka wanasiasa na watu wa kada zote kuacha kujichukulia sheria mkononi.

Chanzo: Mwananchi
Utekaji na Mauaji ya akina mzee kibao na mashambulizi kama haya na mengine mengi yanayoendelea hayaoneshi hali salama na yenye afya kwa Taifa ni, vzr Waziri wa mambo ya ndani na wengine wenye dhamana ya ulinzi wakajiuzulu ili kuonyesha uwajibikaji na uzalendo kwa nchi.
 
Wakuu!

Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo
===================

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba wilayani Ileje, Mkoa wa Songwe, Huruma Ally amevamiwa na watu wasiojulikana na kumvunja miguu yote miwili.

Akizungumzia tukio hilo leo Jumapili, Novemba 10, 2024 mjini Ileje, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wilayani hapa, Maoni Mbuba amesema uvamizi huo umetokea usiku wa kuamkia jana Jumamosi, Novemba 9,2024, huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.

Mbuba amesema katibu huyo amevamiwa saa nne usiku, eneo la Shule ya Msingi Itumba na aliokotwa na wasamaria wema akiwa katika hali mbaya, baada ya kuvunjwa miguu na kupoteza fahamu.

Soma Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Songwe

Amesema alipelekwa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kwa matibabu, huku akisema kitendo hicho hakikubaliki na kimezua taharuki hususani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.

Mbuba amesema CCM Wilaya ya Ileje inalaani kitendo hicho, huku akiwataka wanasiasa na watu wa kada zote kuacha kujichukulia sheria mkononi.

why wamvunje miguu tu? wameharibu muda wao
 
Hii habari mbona ilipita kimya kimya?
 
Hakuripoti polisi?
 
Kifo ni kifo tu kama vifo ingine. Sorry kumbe hamna kifo
 
Atakuwa kala hela ya mgawo wote wa kampeni peke yake.
 
Back
Top Bottom