Pre GE2025 Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu yote miwili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tlaatlaah andaa ngoko Kamanda Muda wowote wheelchair itakuhusu.😂
gentleman,
ni nina kazi muhimu ya wananchi ya kuandaa na kujipanga kwaajili ya ushindi wa kishindo kwa wagombea uongozi wa CCM vijiji na vitongoji vyote Jimboni pangu Nov 27,2024,

mambo binafsi ikiwa ni pamoja na mafumanizi ya wenye tamaa na vya watu, yatafutiwe ufumbuzi kibinafs 🐒
 
Huu upendo unapaswa kusambazwa nchi nzima. Kila mwanaccm avunjwe miguu na mikono
 
gentleman,
ni nina kazi muhimu ya wananchi ya kuandaa na kujipanga kwaajili ya ushindi wa kishindo kwa wagombea uongozi wa CCM vijiji na vitongoji vyote Jimboni pangu Nov 27,2024,

mambo binafsi ikiwa ni pamoja na mafumanizi ya wenye tamaa na vya watu, yatafutiwe ufumbuzi kibinafs 🐒
Ushindi wa kura za gizan na rundo la Aafande.
 
Ubaya ubwela , hii ndio Songwe ninayoijua mimi , ngome ya wapinzani Chadema , kunawatu wabishi kule balaa .
Waanze tu kuwawawinda na kuwachuna ngozi Makada uchwara wa ccm kama walivyokuwa wanachuna ngozi watu miaka ya 90 huko ,mimi nitawapa support kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ,wao si wanajifanya wahuni wa kutengeneza vikosi vya wasiojulikana wakati hii michezo Mbozi kule inafanywa kitambo
 
Ubaya ubwela , hii ndio Songwe ninayoijua mimi , ngome ya wapinzani Chadema , kunawatu wabishi kule balaa .
Waanze tu kuwawawinda na kuwachuna ngozi Makada uchwara wa ccm ,mimi nitawapa support kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ,wao si wanajifanya wahuni wa kutengeneza vikosi vya wasiojulikana wakati hii michezo Mbozi kule inafanywa kitambo
Mbozi inapsawa kupewa hadhi ya mkoa wa kipolisi.
 
Safi kiaje angekuwa nduguyo ungesema hivyo? Siasa isiondoe ubinadamu wako
Si bora huyo kavunjwa miguu je wachadema mnawapiga risasi kuwayoboa macho na kuwamwagia tindikali nao wasrmeje? Kina ben saanane si mnafurahi hadi leo!?
 
Wakuu!

Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo
===================

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba wilayani Ileje, Mkoa wa Songwe, Huruma Ally amevamiwa na watu wasiojulikana na kumvunja miguu yote miwili.

Akizungumzia tukio hilo leo Jumapili, Novemba 10, 2024 mjini Ileje, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wilayani hapa, Maoni Mbuba amesema uvamizi huo umetokea usiku wa kuamkia jana Jumamosi, Novemba 9,2024, huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.

Mbuba amesema katibu huyo amevamiwa saa nne usiku, eneo la Shule ya Msingi Itumba na aliokotwa na wasamaria wema akiwa katika hali mbaya, baada ya kuvunjwa miguu na kupoteza fahamu.

Soma Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Songwe

Amesema alipelekwa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kwa matibabu, huku akisema kitendo hicho hakikubaliki na kimezua taharuki hususani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.

Mbuba amesema CCM Wilaya ya Ileje inalaani kitendo hicho, huku akiwataka wanasiasa na watu wa kada zote kuacha kujichukulia sheria mkononi.

Safi kabisa shenzi taipu
 
Ushindi wa kura za gizan na rundo la Aafande.
ushindi ni ushindi tu gentleman hata ukalalamike vpi hakuna namna unaweza kuzuia au kuudhoofisha ushindi wa kishindo hasa kwa wagombea uongozi wa CCM 🐒
 
Ndio sababu mnavunjana miguu.
 
Wakuu!

Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo
===================

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba wilayani Ileje, Mkoa wa Songwe, Huruma Ally amevamiwa na watu wasiojulikana na kumvunja miguu yote miwili.

Akizungumzia tukio hilo leo Jumapili, Novemba 10, 2024 mjini Ileje, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wilayani hapa, Maoni Mbuba amesema uvamizi huo umetokea usiku wa kuamkia jana Jumamosi, Novemba 9,2024, huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.

Mbuba amesema katibu huyo amevamiwa saa nne usiku, eneo la Shule ya Msingi Itumba na aliokotwa na wasamaria wema akiwa katika hali mbaya, baada ya kuvunjwa miguu na kupoteza fahamu.

Soma Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Songwe

Amesema alipelekwa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kwa matibabu, huku akisema kitendo hicho hakikubaliki na kimezua taharuki hususani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.

Mbuba amesema CCM Wilaya ya Ileje inalaani kitendo hicho, huku akiwataka wanasiasa na watu wa kada zote kuacha kujichukulia sheria mkononi.

Hii inatakiwa ifanyike nchi nzima,hawa ma WEOs na VEOs wanatakiwa waipate chungu.
 
Sasa mwizi kaibiwa.
Kufanywa hivi
IMG_20241113_102339.jpg
 
Back
Top Bottom