Pre GE2025 Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu yote miwili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Utekaji na Mauaji ya akina mzee kibao na mashambulizi kama haya na mengine mengi yanayoendelea hayaoneshi hali salama na yenye afya kwa Taifa ni, vzr Waziri wa mambo ya ndani na wengine wenye dhamana ya ulinzi wakajiuzulu ili kuonyesha uwajibikaji na uzalendo kwa nchi.
 
why wamvunje miguu tu? wameharibu muda wao
 
Hii habari mbona ilipita kimya kimya?
 
Hakuripoti polisi?
 
Kifo ni kifo tu kama vifo ingine. Sorry kumbe hamna kifo
 
Atakuwa kala hela ya mgawo wote wa kampeni peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…