Pre GE2025 Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu yote miwili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu!

Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo
===================

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba wilayani Ileje, Mkoa wa Songwe, Huruma Ally amevamiwa na watu wasiojulikana na kumvunja miguu yote miwili.

Akizungumzia tukio hilo leo Jumapili, Novemba 10, 2024 mjini Ileje, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wilayani hapa, Maoni Mbuba amesema uvamizi huo umetokea usiku wa kuamkia jana Jumamosi, Novemba 9,2024, huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.

Mbuba amesema katibu huyo amevamiwa saa nne usiku, eneo la Shule ya Msingi Itumba na aliokotwa na wasamaria wema akiwa katika hali mbaya, baada ya kuvunjwa miguu na kupoteza fahamu.

Soma Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Songwe

Amesema alipelekwa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kwa matibabu, huku akisema kitendo hicho hakikubaliki na kimezua taharuki hususani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.

Mbuba amesema CCM Wilaya ya Ileje inalaani kitendo hicho, huku akiwataka wanasiasa na watu wa kada zote kuacha kujichukulia sheria mkononi.

Kuna uwezekano ni inside job
 
Kama alikua anatekeleza maagizo yasiyokua ya haki ilitakiwa ulinzi uimarishwe kwake na kwa watu wake wa karibu ili asikumbwe na dhahama kama hizo.
 
Wakuu!

Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo
===================

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba wilayani Ileje, Mkoa wa Songwe, Huruma Ally amevamiwa na watu wasiojulikana na kumvunja miguu yote miwili.

Akizungumzia tukio hilo leo Jumapili, Novemba 10, 2024 mjini Ileje, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wilayani hapa, Maoni Mbuba amesema uvamizi huo umetokea usiku wa kuamkia jana Jumamosi, Novemba 9,2024, huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.

Mbuba amesema katibu huyo amevamiwa saa nne usiku, eneo la Shule ya Msingi Itumba na aliokotwa na wasamaria wema akiwa katika hali mbaya, baada ya kuvunjwa miguu na kupoteza fahamu.

Soma Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Songwe

Amesema alipelekwa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kwa matibabu, huku akisema kitendo hicho hakikubaliki na kimezua taharuki hususani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Kuuwawa ni sawa!!
Mbuba amesema CCM Wilaya ya Ileje inalaani kitendo hicho, huku akiwataka wanasiasa na watu wa kada zote kuacha kujichukulia sheria mkononi.

Kibao kutekwa na kuuwawa ni sawa, katibu kuvunjwa miguu eti haikubaliki, Mama mitano Tena 😀🤣🤣😀😀😀
 
Ccm hao mambo ya makundi na teuzi
 
Mpaka waseme!
 
Back
Top Bottom