Uchaguzi 2020 Songwe: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Songwe: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Songwe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Songwe una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni:

Ileje -
ENG. MSONGWE GODFREY KASEKENYA - Amepita bila kupingwa

Mbozi -
George Mwenisongole(CCM)

Vwawa -
Japhet Hasunga (CCM) - Kura 38,226
Fanuel Mkisi (CHADEMA) - Kura 17,157

Tunduma -
David Silinde (CCM) - Kura 43,276
Frank Mwakajoka (CCM) - kura 12,433

Momba -
Kondesta Sichalwe (CCM)

Songwe -
MULOGO PHILIPO AUGUSTINO - Amepita bila kupingwa


ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Kupita bila kupingwa ni uoga wa mapambano.

Philipo Mulugo bingwa wa kuwafanyia figisu wapinzani wake, kwa mfano alivyo mfanyia Ntwina (R.I.P) enzi hizo; Kafanya yake tena Mwaka huu.
 
Mungu Baba ninatubu kwa dhambi zangu na taifa letu Tz, tuonee huruma, tujalie hekima na busara tukafanye wajibu wetu kupiga,kuhesabu,kutangaza matokeo kura itakayo leta HAKI na ustawi wa taifa letu.Amina
 
Poleni na changamoto za uchaguzi wakuu.
Mkoa wa songwe, taarifa za uchaguzi huko zikoje upande wa matokeo
Katika majimbo ya
Vwawa
Momba
Mbozi
Songwe
Ileje
Mlowo
Tunduma
 
29 October 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania

Matokeo ya ubunge na urais uchaguzi mkuu 2020 ukitangazwa

FULL MATOKEO YA JIMBO LA TUNDUMA 2020



Lugha ya mwili a.k.a Body language ya David Silinde haina furaha juu ya ' ushindi' wake, tatizo ni nini wanaJF
 
Back
Top Bottom