Songwe: Miili mitano yaokotwa msituni

S
Kila tukio lilikua Magufuli, ndio maana tunahoji Magufuli karudi tena au zilikua Propaganda?Mwaka jana kuna miili iliokotwa huko Tanga,hatukusikia zile kelele kutoka kwa wapiga ramli.
Sasa hivi wale walikuwa wanamchafua JPM na propaganda chafu wanalamba asali kwa hiyo haya mambo hawataki hata kuyasemea tena....ni kakundi Ka watu wachache sana wao wakifurahi nchi inakuwa shwari...watanzania tuamke
 
Mikoa kama Geita, Songwe Kweli IGP anaweka RPC wa aina hii?

Kamishna Msaidizi (ACP) Theopista Mallya, Na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay wote wametokea Kilimanjaro ambako kundi hili ni waoga sana.

Bora wangetokea Tarime.


Ninakumbuka SIRRO
 
Pole Sana Kwa Wote, Mamlaka Itasema Nini Chanzo Cha Hayo
 
Dah
Sirikali
 
Uchunguzi kamili ufanyika na wahusika wafikishwe kwenye vyombo vya sheria. Simu zao za mkononi zifuatiliwe ili kuona siku ya tukio walikuwa wanafanya mawasialiano na namba zipo zinazofanana
 
Songwe. Zoezi la kumtambua miili ya watu watano (5) iliyookotwa ikiwa imetupwa kando ya barabara ya lami eneo la Mlima Senjele, Kata ya Nanyara, wilayani Mbozi; Mkoa wa Songwe, linaendelea.


Hata hivyo, muda ambao waandishi anaandika habari hii, hakukuwa na mwili hata mmoja uliotambuliwa na ndugu, jamaa ama marafiki.

Tukio la kuonekana kwa miili ya watu hao ambao inasemekana ni wa jinsia ya kiume wakikadiliwa kuwa na umri wa kati ya miaka 25 na 30; limetokea jana ambapo walioiona miili hiyo jana Mei 10 ,2023 walisema ilikuwa ikivuja damu kichwani.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…