imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sidhani,CCM ndio iko mwishoni.Dunia ipo mwishoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani,CCM ndio iko mwishoni.Dunia ipo mwishoni
Tena?Siyo Tarime?Ila ukanda wa Mbeya na Songwe hali ni mbaya mnoo.
Hata yakitokea matukio elfu mia nne,hayafuti uhayawani wa mtu huyo.Kila tukio lilikua Magufuli, ndio maana tunahoji Magufuli karudi tena au zilikua Propaganda?Mwaka jana kuna miili iliokotwa huko Tanga,hatukusikia zile kelele kutoka kwa wapiga ramli.
Kazi ipoo.Tena?Siyo Tarime?
Special case kwanini?Huko lake zone ni special case.
Sasa hivi wale walikuwa wanamchafua JPM na propaganda chafu wanalamba asali kwa hiyo haya mambo hawataki hata kuyasemea tena....ni kakundi Ka watu wachache sana wao wakifurahi nchi inakuwa shwari...watanzania tuamkeKila tukio lilikua Magufuli, ndio maana tunahoji Magufuli karudi tena au zilikua Propaganda?Mwaka jana kuna miili iliokotwa huko Tanga,hatukusikia zile kelele kutoka kwa wapiga ramli.
Geita
Mikoa kama Geita, Songwe Kweli IGP anaweka RPC wa aina hii?
WINGU jeusi limetanda wilayani Mbozi katika Mkoa wa Songwe baada ya miili ya watu watano wasiofahamika kukutwa imetupwa kwenye msitu wa Mlima Senjele pembezoni mwa Barabara Kuu ya Tanzania na Zambia (TANZAM).
Miili hiyo ambayo ni ya wanaume wanaokadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 25 na 30, inadaiwa kutupwa katika eneo hilo usiku wa kuamkia jana na watu wasiojulikana.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi (ACP) Theopista Mallya, alisema miili hiyo ilikutwa jana asubuhi na kuchukuliwa kwenda kuhifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi.
Alisema chanzo cha vifo vya watu hao hakijulikani na kwa sasa wanasubiri taarifa ya kitabibu kutoka kwa madaktari ili wajue kiini chake.
Chanzo: Gazeti la Nipashe
Dah