MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,115
- 15,057
Hawa watu wana jeuri... mtu wa pili anauawaAmeongeza kuwa hilo ni tukio la pili la kushambuliwa kwa mtumishi katika eneo hilo, baada ya mtendaji wa kitongoji katika kijiji hicho kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji mwezi Machi mwaka huu na kupoteza maisha.
Wafugaji wote Sisi tunafanana na ng'ombe wetu! Tukishavimbiwa maziwa huwa ni hatari sana! Wasukuma Sisi huwa tunafika mahali tunakuwa wapuuzi sana!Mfugaji haswa mmang'ati ana tabia mbaya Sana,cha msingi Sheria ifuate mkondo wahusika wakamatwe
Songwe hapafai kabisa sijui jamaa wana damu na tabia za nchi gani aisee.Wageni tunaenda kufanya kazi mikoa ambayo ustaarabu wao na tunapotoka ni tofauti.
Wenyeji wana tabia ya kuona wao ni wazawa huna cha kuwaambia.
Kama mtumishi alishauawa na hakuna hatua zilizochukuliwa ilikua swala la muda kabla mwingine hajadondoshwa. Na hili lisipofanyiwa kazi basi itajirudia.
Nakuambia heri ubishane na mang'ati kuliko msukuma yule mwenyewe wa porini atakuuwa bila huruma wa kusitasita.Mfugaji haswa mmang'ati ana tabia mbaya Sana,cha msingi Sheria ifuate mkondo wahusika wakamatwe
Jamii zote za kifugaji zina mambo mengi ya kushangaza. Kuna namna watu hufanana tabia na hao wanyama wanaowafuga.Mfugaji haswa mmang'ati ana tabia mbaya Sana,cha msingi Sheria ifuate mkondo wahusika wakamatwe
Tz mfugaji ana miliki ngombe 100 kuwalisha inabidi awatoe awasagweAisee ishu ndogo wanamuua kuua watu wasio na hatia kabisa mbaya sana kusikia mwalimu anauawa akiwa kwenye mazingira yake ya kazi..