funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Hali inaendelea kuwa mbaya kwa upande wa CHADEMA.
Leo ni zamu ya Mkoa wa Songwe.Viongozi na wafuasi wapatao 24 wamejivua uamachama.
Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA ikiwemo Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa Baraza la Wazee Mama Happiness Kwilabiya ambaye aliwahi kuwa diwani viti Maalum Mwaka 2015-2020 pamoja na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Majimbo ambaye pia amewahi kuwa Katibu wa Baraza la Vijana Mkoa (BAVICHA) Michael Mwamlima wamewaongoza wanachama wengine 22 na kujiondoa katika Chama hicho kwa madai ya uwepo wa makundi na chuki ndani ya Chama hicho .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wameyasema hayo wakati wakizungumza na Waandishi wa Habari ambapo wamesema kutokana na sintofahamu hizo wameamua kujiondoa na kutojihusisha na siasa za CHADEMA ambapo wamesema wameamua kujiondoa katika chama hicho na kutokujihusisha na shughuli zozote za kisiasa ndani ya chama
hicho.