Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Waweza kuta huyu ndo John mrema.Kuna uwezekano mkubwa.
Tumpe muda tu
Waweza kuta huyu ndo John mrema.Kuna uwezekano mkubwa.
Tumpe muda tu
Yaani ukibaki CDM ni kamanda, ukitoka tu unakua Tapeli!!!Wajivue na nguo kabisa.Matapeli hao.
Huyo hana shukurani.Mwamba Mbowe alimtoa Uingereza akiwa anaosha mavi ya vizee vya kizungu.Leo anamkashifu!
Utafiti uliuguatilia kuhusu akili za wana CCM na wapenzi wao?Yaani ukibaki CDM ni kamanda, ukitoka tu unakua Tapeli!!!