Halafu wanahamia CHAUMMA ili kwenda kugombea huku wakitarajia kushinda kwa kishindo!Hali inaendelea kuwa mbaya kwa upande wa chadema.
Leo ni zamu ya Mkoa wa Songwe.Viongozi na wafuasi wapatao 24 wamejivua uamachama.
Makapi yanapeperuka.Hali inaendelea kuwa mbaya kwa upande wa chadema.
Leo ni zamu ya Mkoa wa Songwe.Viongozi na wafuasi wapatao 24 wamejivua uamachama.
sasa Songwe nzima kuna wanachadema wangapi ili tuone hao 24 ni asilimia ngapi?Hali inaendelea kuwa mbaya kwa upande wa chadema.
Leo ni zamu ya Mkoa wa Songwe.Viongozi na wafuasi wapatao 24 wamejivua uamachama.
Huyu awezi maaana tayari kashapewa akaunti ya Tone tone
Wajivue na nguo kabisa.Matapeli hao.Hali inaendelea kuwa mbaya kwa upande wa CHADEMA.
Leo ni zamu ya Mkoa wa Songwe.Viongozi na wafuasi wapatao 24 wamejivua uamachama.
Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA ikiwemo Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa Baraza la Wazee Mama Happiness Kwilabiya ambaye aliwahi kuwa diwani viti Maalum Mwaka 2015-2020 pamoja na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Majimbo ambaye pia amewahi kuwa Katibu wa Baraza la Vijana Mkoa (BAVICHA) Michael Mwamlima wamewaongoza wanachama wengine 22 na kujiondoa katika Chama hicho kwa madai ya uwepo wa makundi na chuki ndani ya Chama hicho .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wameyasema hayo wakati wakizungumza na Waandishi wa Habari ambapo wamesema kutokana na sintofahamu hizo wameamua kujiondoa na kutojihusisha na siasa za CHADEMA ambapo wamesema wameamua kujiondoa katika chama hicho na kutokujihusisha na shughuli zozote za kisiasa ndani ya chama hicho.
Mwachama mmoja mkuu ni Muhimusasa Songwe nzima kuna wanachadema wangapi ili tuone hao 24 ni asilimia ngapi?
Wewe usie tapeli unatumia Id feki unajiita mwanaharakatiWavue na nguo kabisa.Matapeli hao.
Huyu Alishahama, huko chadema imebaki feki I'd tuu. Kesharamba teuzi za mzee wa ubwabwa.
Uchaguzi kitu gani, mtu anaweza kuwa Cdm akspigia kura Chauma, kura ni siri yake mazee.Hata wakiwa 100 lakini huwezi kuchekelea 24 kuondoka unapoelekea kwenye uchaguzi
wakati wa kura nyie maFISIEMU mnagawana vibegi vya kura za wizi na sie mnatupa kura moja moja?Mwachama mmoja mkuu ni Muhimu
Hizo ni Kura 24 ambazo zinaamua kabisa matokeo
Watu 24 wanaweza kufanya mageuzi pahali
Usidharau uchache
Chadema mmejawa na Viongozi wenye viburi ni kitu kibaya sana
Sio lazima ashinde yeye,kuwaona wanaohama wanakosea na kuwatukana inaonyesha mlivyo wajinga.Demokrasia mnayoihubiri iko wapi ikiwa kila anayejitoa chadema mnamtukana.kwani lazima chama kiwe chadema?.kwenye siasa lolote linawezekana na kesho a mtu hakuna haijuaye.Halafu wanahamia CHAUMMA ili kwenda kugombea huku wakitarajia kushinda kwa kishindo!
Wapumbavu wakubwa.