babyfancy
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 2,176
- 6,187
Asante KWA taarifaSongwe kuna wanyiha sio wanyakyusa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante KWA taarifaSongwe kuna wanyiha sio wanyakyusa.
Karibu Songwe kuna Kimondo, mchele safi, kuku wa kienyeji bila kusahau Tunduma boda, hapo Zambia unaingia kwa miguu tu.Asante KWA taarifa
Ila umesahau kitu kimoja tu [emoji1787][emoji1787] tumleshe tumgoje [emoji1787] nyie wanyiha taarifa zenu tunazoKaribu Songwe kuna Kimondo, mchele safi, kuku wa kienyeji bila kusahau Tunduma boda, hapo Zambia unaingia kwa miguu tu.
Ukitaka kwenda hata Kongo Kasumbalesa ni jirani tu.
Huyo mganga fake, kwani asifanye jambo kuthibitisha uwezo wake!!Polisi mkoani Songwe wanawashikilia watu 24 wa Kijiji cha Chang'ombe wilayani Songwe kwa tuhuma za kuzingira kituo cha polisi Galula.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Janeth Magomi amesema watu hao walivamia kituo wakishinikiza kurejeshewa mikoba ya waganga wa jadi (lambalamba) iliyokamatwa na askari wa kituo hicho.
Amesema watu hao walikizingira kituo hicho Novemba 22, 2021 alfajiri baada ya askari kuzuia kazi za lambalamba wanaowadhalilisha watu wakiwatuhumu ni wachawi.
Amesema kufuatia tukio hilo Mwenyekiti wa Kijiji na watu wengine 23 wanashikiriwa polisi kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba akiwa Mji Mdogo wa Mlowo aliwataka wakazi wa mkoa huo kuachana na wapiga ramli chonganishi wakiwamo lambalamba.
MWANANCHI
Ha ha ha umetisha mkuuIla umesahau kitu kimoja tu [emoji1787][emoji1787] tumleshe tumgoje [emoji1787] nyie wanyiha taarifa zenu tunazo