Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Wengine Kupe, Ndorobo, PapasiSasa kila anayecomment humu ni Chama tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine Kupe, Ndorobo, PapasiSasa kila anayecomment humu ni Chama tu!!
😂Nchi hii inavijana wa hovyo Sana,Wengine Kupe, Ndorobo, Papasi
Mandonga Kuna katiba MzeeSamia Kama Samia atawale milele
😀😀😀😀Kufa kufaana,Nimeona mfugaji hapo anafurahia kuwa atapata bei nzuri.
Kama jitihada za kuwavisha ng'ombe hereni zitachangia bei ya nyama kuongezeka kwenye mabucha, basi ni bora zoezi hili likasitishwa mara moja.
Nenda kaonane na Mkurugenzi wakoHizi hereni zinapatikana wapi niko hapa DSM na ngombe wangu wa maziwa nataka wapendeze
Vipi Kuhusu bei pia chiefNenda kaonane na Mkurugenzi wako
ngo'mbe/punda 1,750Vipi Kuhusu bei pia chief
Sio mbayango'mbe/punda 1,750
Mbuzi/kondoo 1,000
Tanzania ni Kama Ulaya na Mama Samia
sahihi kabisa,Kazi iendelee Songwe.Utambuzi ndio roho ya mfugaji kwa Sasa
Naomba shule hapa, yaani ng'ombe akiwekewa heleni anauzwa bei kubwa zaidi kuliko asipokuwa na heleni?View attachment 2401065
View attachment 2401069
Wasalaam Jf,
Mkoa wa Songwe wenye halmshauri tano za Tunduma, Momba, Mbozi, Ileje na Songwe ndio Mkoa pekee nchini unaondesha zoezi la Utambuzi wa Mifugo kielekroniki katika halmashauri zake zote,
Wakati baadhi ya mikoa ikiwa haijaanza kabisa Utambuzi huu wa Mifugo, Mhe Waziri Kindamba Mkuu wa Mkoa wa Songwe na team yake tayari wanaendelea na zoezi hili katika halmashauri zake zote,
Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan tayari alikwisha ingia mkataba na nchi za falme za kiarabu kwaajili ya wao kununua nyama na Mifugo toka Tanzania,
Tarakimu zisizo Rasmi zinaitaja Tanzania kuwa ndio nchi ya pili baada ya Ethiopia kuwa na Mifugo mingi ambayo inasemekana kuwa ni Sawa na nusu ya idadi ya Watanzania,
Pamoja na Tanzania kuwa na Mifugo mingi Kama nchi hatujawahi kunufaika na faida zote zitokanazo na Mifugo kisawa Sawa ndio sababu Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa kwenye sekta hii hasa baada ya Usajili huu,
Uzoefu wa bei za ngo'mbe kimataifa unaonesha huenda ngo'mbe anayeuza TZS 500,000 leo hapa Tanzania baada ya Usajili huenda akauzwa hadi Ughaibuni US$ 1,086 au TZS 2,500,000,
Kama ilivyo kawaida yake Rais Samia yeye anatengeneza fursa ili kutufungulia dunia tuchukue kile kinachotufaa na kustahili,Hili la Utambuzi wa Mifugo ni jambo jema liungwe mkono na kila mwenye ngombe, Mbuzi, kondoo na Panda,
Naye Masanja Jilala mfugaji toka kata ya Usongole Wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe anasema " Sisi tunamshukuru Sana Rais kutuletea hili zoezi la kuweka hereni kwani Mifugo yetu tumekuwa tukinyonywa Sana kwenye bei Ila Kama tutauza nje ya nchi tunajua lazima bei iwe juu kidogo "
Hongera Waziri Kindamba na team yako, Hakika mnastahili pongezi,
Mwanahabari wa Taifa,
Hereni zinaifanya ngo'mbe kuwa ya Kimataifa,anakuwa na sifa ya kuuzwa nchi yoyote ile dunianiNaomba shule hapa, yaani ng'ombe akiwekewa heleni anauzwa bei kubwa zaidi kuliko asipokuwa na heleni?
Hizi pongezi apewe waziri mwenye dhamana na RaisView attachment 2401065
View attachment 2401069
Wasalaam Jf,
Mkoa wa Songwe wenye halmshauri tano za Tunduma, Momba, Mbozi, Ileje na Songwe ndio Mkoa pekee nchini unaondesha zoezi la Utambuzi wa Mifugo kielekroniki katika halmashauri zake zote,
Wakati baadhi ya mikoa ikiwa haijaanza kabisa Utambuzi huu wa Mifugo, Mhe Waziri Kindamba Mkuu wa Mkoa wa Songwe na team yake tayari wanaendelea na zoezi hili katika halmashauri zake zote,
Mtakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan tayari alikwisha ingia mkataba na nchi za falme za kiarabu kwaajili ya wao kununua nyama na Mifugo toka Tanzania,
Tarakimu zisizo Rasmi zinaitaja Tanzania kuwa ndio nchi ya pili baada ya Ethiopia kuwa na Mifugo mingi ambayo inasemekana kuwa ni Sawa na nusu ya idadi ya Watanzania,
Pamoja na Tanzania kuwa na Mifugo mingi Kama nchi hatujawahi kunufaika na faida zote zitokanazo na Mifugo kisawa Sawa ndio sababu Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa kwenye sekta hii hasa baada ya Usajili huu,
Uzoefu wa bei za ngo'mbe kimataifa unaonesha huenda ngo'mbe anayeuza TZS 500,000 leo hapa Tanzania baada ya Usajili huenda akauzwa hadi Ughaibuni US$ 1,086 au TZS 2,500,000,
Kama ilivyo kawaida yake Rais Samia yeye anatengeneza fursa ili kutufungulia dunia tuchukue kile kinachotufaa na kustahili,Hili la Utambuzi wa Mifugo ni jambo jema liungwe mkono na kila mwenye ngombe, Mbuzi, kondoo na Panda,
Naye Masanja Jilala mfugaji toka kata ya Usongole Wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe anasema " Sisi tunamshukuru Sana Rais kutuletea hili zoezi la kuweka hereni kwani Mifugo yetu tumekuwa tukinyonywa Sana kwenye bei Ila Kama tutauza nje ya nchi tunajua lazima bei iwe juu kidogo "
Hongera Waziri Kindamba na team yako, Hakika mnastahili pongezi,
Mwanahabari wa Taifa,
Huko TTCL alifanya nini cha maana?Huyu Waziri Kindamba namfahamu ni mtu mwadilifu Sana.
Huu Utambuzi Kama utafanyika vizuri tutashuhudia bilioners wakifugaji
Nadhani utukumbushe kipi kibaya alifanya piaHuko TTCL alifanya nini cha maana?
Naunga mkono hoja yako Ila Watanzania ni watu wagumu Sana kutambua fursaHuyu Waziri Kindamba namfahamu ni mtu mwadilifu Sana.
Huu Utambuzi Kama utafanyika vizuri tutashuhudia bilioners wakifugaji
inaonekana anajitahidi kama ni hiviwaziri Kindamba Kumbe ndio RC wa Songwe? Yuko njema Jamaa