Songwe: Waziri Kindamba apongezwe kwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa kwanza Tanzania kutambua Mifugo katika halmashauri zake zote

Nimeona mfugaji hapo anafurahia kuwa atapata bei nzuri.
Kama jitihada za kuwavisha ng'ombe hereni zitachangia bei ya nyama kuongezeka kwenye mabucha, basi ni bora zoezi hili likasitishwa mara moja.
 
Nimeona mfugaji hapo anafurahia kuwa atapata bei nzuri.
Kama jitihada za kuwavisha ng'ombe hereni zitachangia bei ya nyama kuongezeka kwenye mabucha, basi ni bora zoezi hili likasitishwa mara moja.
😀😀😀😀Kufa kufaana,

Bei ya juu nje ya nchi sio ndani
 
Hizi hereni zinapatikana wapi niko hapa DSM na ngombe wangu wa maziwa nataka wapendeze
 
Naomba shule hapa, yaani ng'ombe akiwekewa heleni anauzwa bei kubwa zaidi kuliko asipokuwa na heleni?
 
Naomba shule hapa, yaani ng'ombe akiwekewa heleni anauzwa bei kubwa zaidi kuliko asipokuwa na heleni?
Hereni zinaifanya ngo'mbe kuwa ya Kimataifa,anakuwa na sifa ya kuuzwa nchi yoyote ile duniani
 
Hizi pongezi apewe waziri mwenye dhamana na Rais

Ovaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…