Pre GE2025 Songwe yabubujikwa na machozi ya furaha na kumshukuru Rais Samia baada ya kupewa Majiko ya Gesi ya Ruzuku

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Watendelea kuuza chuma chakavu baada ya kumaliza gesi.Maana Serikali imeshindwa kupromote nishati safi ya kupikia.Agenda hii iko kisiasa zaidi wala siyo ya kimkakati.wanaomshauri Raisi kwenye hili ni wa Hovyo saana.ama ni wafanyabiashara wa majiko ambao hawana intererest ya kumasaidia raisi.Iko hivi Rwanda waliondoa tozo ukununua gari inayotumia umeme ili kulinda mazingira.Wangeondoa kodi na kusulipiq sehemu ya gharama ili gesi iwe bei ndogo watu waone huo unafuu.otherwise watandelea kukimbizana na wauza mkaa.watu wana interest na nishati ya kupikia iliyo raisi ,mambo ya usafi siyo mhimu kwao.ila ikiwa unataka kuleta usafi leta na unafuu.watu wataacha matumizi ya mkaa ikiwa yatakuwa ghari kuliko gesi au umeme.

Siku hizi kupikia gesi na umeme ni kama anasa hivi
 
Dhamira ya serikali ni kutaka kuona watanzania wote wanatumia nishati safi katika kupikia. Na katika kufikia hilo serikali ina mipango kabambe ya kupunguza bei ya gas kuwa sawa na bure ili kila mwananchi Amudu.
 
Dhamira ya serikali ni kutaka kuona watanzania wote wanatumia nishati safi katika kupikia. Na katika kufikia hilo serikali ina mipango kabambe ya kupunguza bei ya gas kuwa sawa na bure ili kila mwananchi Amudu.
Hizo ni STORY TUU.TUMEANZA KUSIKIA TOKA TUKIWA VIJANA NA SASA NI WAZEE.TOKA GESI ILIPOGUNDILIWA HUKO MTWARA
 
Machozi yako sasa umeamua ambukiza ,wana Mbeya ,unaweza ukawa umezaliwa Mbeya ila huwajui wana Mbeya ,Mbeya hakuna fala
 
IQ ya hangaya na watu wake ni ya ndogo kama ubongo wa sisimizi
Kinachokusumbua wewe ni chuki binafsi tu zilizokujaa katika kifua chako. Lakini napenda kukwambia ya kuwa RAIS Samia ni akili kubwa na kiongozi mwenye Maono makubwa Sana .Ndio Maana CCM tumempitisha kuwa Mgombea wetu kupeperusha bendera Uchaguzi utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu.
 
Wapumbavu wakubwa nyie.

Watz hawahitaji kupewa samaki bali wanahitaji nyavu wakavue wenyewe
 
 

Attachments

  • 1edaac7a3e34dc7dbc36bb899a6e6430_1738702701936.mp4
    5.4 MB
Kila nchi huwa
Kila nchi Huwa haikosi majinga. Nchi yetu ina jinga namba moja ambalo ni wewe. Ili tuendelee inabidi majinga yafe yote ili wenye akili wapate ufanisi. Jinga wewe umekaribia kufa kwani mungu ameshaanza maandalizi ya kukutwaa. Na utakufa vibaya. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…