Pre GE2025 Songwe yabubujikwa na machozi ya furaha na kumshukuru Rais Samia baada ya kupewa Majiko ya Gesi ya Ruzuku

Pre GE2025 Songwe yabubujikwa na machozi ya furaha na kumshukuru Rais Samia baada ya kupewa Majiko ya Gesi ya Ruzuku

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa ivo wewe umo ndani ya hiyo mitungi ya gesi😃😀😅

Kwani mitungi ya gesi kuwa na gesi ndani yake ni jambo la kushangaa. Ila kusema imejaa mpaka juu, ndiyo kiashiria cha uchawa.
Ndio imejaa hadi juu kabisa na hakuna mtungi ulio kuwa nusu
 
Acha wivu wako hapa wewe. Unajua namna watu walivyokuwa wakiteseka kwa kupikia kuni mbichi zenye kutoa moshi muda wote kama gari bovu.
Mpuuzi mkubwa wewe , unampa mtu cylinder pesa ya kufanya refill hana unatarajia nini?

Kwanini serikali na huyo mama yenu wasingeteneze mazingira rafiki kusambaza hiyo gesi majumbani kupitia pipes watu walipie kwa mwezi kuliko hizo drama wanazofanya.

Hao watu kama hawakuwa na uwezo wa kununua hizo cylinder mwanzo hadi wakapikia kuni maana yake waliona hawamudu kupata pesa ya kununua cylinder ya kufanya refill tumia akili wewe kunguni wa mama Abduli.
 
Hivi kweli mkuu unashirikisha kichwa chako ? Ni sawa sawa unamsifia drug dealer kwa kuwapa mateja drugs yaani anaendelea kuwafanya wawe mateja....

Hebu niambie common sense ya kuwapa watu kitu cha gharama zaidi kwa kutumia Kodi zao eti unawapunguzia ili kesho waje waendelee kupoteza pesa.....





 
Back
Top Bottom