GE2025 Soon atamfuta kazi IGP, lakini tusipumbazwe

GE2025 Soon atamfuta kazi IGP, lakini tusipumbazwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Habari za chini ya carpet ni kuwa atamfuta kazi IGP na akina Muliro ili kutuzuga kuwa mauaji yote yaliyofanyika hayana fingerprints zake, but men….we shouldn’t be fooled.

Huyu ni wa kwenda naye ulalo ulalo hadi ateme bungo.

No letting up🇹🇿🇹🇿🔥🔥
 
Habari za chini ya carpet ni kuwa atamfuta kazi IGP na akina Muliro ili kutuzuga, but men….we shouldn’t be fooled.

Huyu ni wa kwenda naye ulalo ulalo hadi ateme bungo.

No letting up🇹🇿🇹🇿🔥🔥
Pole sana hao watapewa taji ya ushindi! Amani,usalama na JMT ni vitu ambavyo havina mbadala!
 
Habari za chini ya carpet ni kuwa atamfuta kazi IGP na akina Muliro ili kutuzuga kuwa mauaji yote yaliyofanyika hayana fingerprints zake, but men….we shouldn’t be fooled.

Huyu ni wa kwenda naye ulalo ulalo hadi ateme bungo.

No letting up🇹🇿🇹🇿🔥🔥
Nimeona

Anawafukuza wote DGIS, IGP na RPC wote ambao watu wamekufa uko lkn hazitasaidia

Watu tunataka yeye ndiye awe mtenda haki namba moja
 
Hata amfute kazi nani maneni yake kabla ya uchaguzi kuhusu kuwatisha watanzania kuwa hakufakuwa na nywinywi wala nywi nywi nywi bila kusahau vitendo vya kuwateka na kuwapoteza watu lazima vimfikishe ICC.

Ushahidi dhidi yake ni mzito sana na dunia yote inao
 
Nimeona

Anawafukuza wote DGIS, IGP na RPC wote ambao watu wamekufa uko lkn hazitasaidia

Watu tunataka yeye ndiye awe mtenda haki namba moja
Pole sana we mtoto mnaota ndoto za mchana kweupe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
huyu mama ukimwangalia kwa jicho la ndani, hana anachojali zaid ya kti cha urais, bado hajaua, ataua sana labda Mungu aingilie kat, kuna maneno ya busara sana fernandes alimuambia, ila facial reaction yake ilinisikitisha sana.
 
Hata amfute kazi nani maneni yake kabla ya uchaguzi kuhusu kuwatisha watanzania kuwa hakufakuwa na nywinywi wala nywi nywi nywi bila kusahau vitendo vya kuwateka na kuwapoteza watu lazima vimfikishe ICC.

Ushahidi dhidi yake ni mzito sana na dunia yote inao
Vp mambo ya jeshi yamefkia wapi?
Mmenyooshwa vya kutosha
 
Waliofanya mauaji siyo igp bali ni wanajeshi kutoka uganda
 
Vp mambo ya jeshi yamefkia wapi?
Mmenyooshwa vya kutosha
Ata ukikebehi ukweli unabaki pale pale
1. Upinzani kupitia chama cha chadema ukiongozwa na Tundu Lissu umefahamika duniani kote na hivyo kuongeza support kubwa ndani na nje ya nchi.
2. CHADEMA imeonekana kuwa chama cha kweli cha upinzania na wako kutetea wananchi na sio matumbo yao
3. Dharau na unyanyasaji dhidi ya wapinzani utakoma. utasikia tena kesi za kubambikia.
4. Upende usipende uchaguzi utakaokuja utakuwa na fair ground
Kuhusu CCM
1. Chuki imeongezeka maradufu
2.Mali za mafisadi zimeharibiwa na sasa wataogopa kuiba
3. Uchaguzi ukifanyika siku yoyote CCM inatupwa
WEWE ENDELEA KUCHABIKIA
 
Okay
 

Attachments

  • IMG-20251103-WA0062.jpg
    IMG-20251103-WA0062.jpg
    59.3 KB · Views: 28
Back
Top Bottom