Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Pole sana hao watapewa taji ya ushindi! Amani,usalama na JMT ni vitu ambavyo havina mbadala!Habari za chini ya carpet ni kuwa atamfuta kazi IGP na akina Muliro ili kutuzuga, but men….we shouldn’t be fooled.
Huyu ni wa kwenda naye ulalo ulalo hadi ateme bungo.
No letting up🇹🇿🇹🇿🔥🔥
Mbwaaaaaa wewe🚮🚮🚮🚮Pole sana hao watapewa taji ya ushindi! Amani,usalama na JMT ni vitu ambavyo havina mbadala!
Vipi NRNE imeishia wapi?Mbwaaaaaa wewe🚮🚮🚮🚮
Vipi NRNE imeishia wapi?
NimeonaHabari za chini ya carpet ni kuwa atamfuta kazi IGP na akina Muliro ili kutuzuga kuwa mauaji yote yaliyofanyika hayana fingerprints zake, but men….we shouldn’t be fooled.
Huyu ni wa kwenda naye ulalo ulalo hadi ateme bungo.
No letting up🇹🇿🇹🇿🔥🔥
Pole sana we mtoto mnaota ndoto za mchana kweupe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimeona
Anawafukuza wote DGIS, IGP na RPC wote ambao watu wamekufa uko lkn hazitasaidia
Watu tunataka yeye ndiye awe mtenda haki namba moja
Vp mambo ya jeshi yamefkia wapi?Hata amfute kazi nani maneni yake kabla ya uchaguzi kuhusu kuwatisha watanzania kuwa hakufakuwa na nywinywi wala nywi nywi nywi bila kusahau vitendo vya kuwateka na kuwapoteza watu lazima vimfikishe ICC.
Ushahidi dhidi yake ni mzito sana na dunia yote inao
Ata ukikebehi ukweli unabaki pale paleVp mambo ya jeshi yamefkia wapi?
Mmenyooshwa vya kutosha