Soon italwenda kujulikana kama hayati Mkapa na hayati JPM walikufa natural death

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Kuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.

Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.

Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.
 
Sawa
 
Hakuna mtu ndani ya ccm ana uwezo wa kufanya chochote nje ya matakwa ya wenye ccm yao.
 
Kuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.

Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.

Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.
Hakuna pimbi wala kima yeyote wa ccm wa kukinukisha kwanza washakula hela za mama sagaj na mtoto wake gasho ashawapa urojo na ubuyu wa bab issa saa hii wapo chali mlalo wa kifo cha mende. Mama Tanganyika analawtw na wazenj tena anaendelea pigwa mtungo huku watoto wake wa kiume wakishangilia
 
Kuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.

Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.

Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.
Kwamba hakubaliki siyo habari.Hata hizo asilimia umempendelea.Hakubaliki zaidi ya hicho kiwango.Lakini kusema kuna wana CCM watakinukisha,sidhani.Hawana ubavu huo
 
CCM wote machawa. Wanamuogopa Samiah kuliko wazazi wao.
 
Wanachama CCM wengi ni waoga kuliko makunguru! Wachache waliojitokeza ndiyo hawa walioishia kutekwa na kupigwa, au kufunguliwa kesi za uhaini.
Ccm kwenye maslahi binafsi na ya chama chao wako radhi watuuze wote utumwani zanzibar mkuu
 
Kuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.

Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.

Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.
As long as wameua sana watanzania sasa bora wauane wenyewe ili waone uchungu wa dhulma
 
Kuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.

Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.

Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.

View: https://vt.tiktok.com/ZSVqyDM4y/
 
Kuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.

Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.

Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.
Hao waliuawa, mbona Polepole alishathibitisha
 
Wanachama CCM wengi ni waoga kuliko makunguru! Wachache waliojitokeza ndiyo hawa walioishia kutekwa na kupigwa, au kufunguliwa kesi za uhaini.
Shida machawa ni wengi, hawana misimamo…akimaliza hii awamu yake yote atakua kapambana sana ila sion akitoboa
 
Back
Top Bottom