Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Ajabu sasa mamaako mzazi na hawara yake wanamkubali. Na nasikia mamaako ameishakwambia umkubali au akutenge!Kuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.
Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.
Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango wa WanaCCM mafisadi.